Wabara ni kero,mazimwi,maruhani ya wazanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabara ni kero,mazimwi,maruhani ya wazanzibar

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Marytina, Feb 9, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wazanzibar
  1.tunaburuzwa kwenye muungano
  2.Tunachaguliwa rais wa zanzibar (kimkakati kwani CCM inawapitishia wagombea urais)
  3. Dai jipya: TUMECHEZEWA RAFU MATOKEO YA FORM FOUR 2010 (wanataka baraza lao la mitihani)na malalamiko kibao.TUJITOE KWENYE MUUNGANO

  BARA:tudumishe muungano jamani na misemo kibao ya Mwalimu.

  My take:Tuwaachie zanzibar yao waone watafika wapi na siasa zao zisizo na hoja wala mashiko bali visasi vya kihistoria mara HANGA,ushiriki wa SEIF kumdhalilisha JUMBE,sijui mara Sultan alifanyaje yaan ajabu bin ajabu.

  Vijana wa BARA tunataka siasaleo (sio siasahistoria ya CUF+-CCM)inayochipua hoja bila woga kwa maslahi ya taifa.Tumeingia kwenye ulingo mwingine wa kuikomboa nchi kutoka kwa Mafisadi.

  Wana JF karibun
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unazungumzia wabara au specifically Watanganyika. Nataka nichangie lakini sijakupata
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  NAZUNGUMZIA WATANGANYIKA, nipe overview yako au labda nakosea kuuchoka muungano?
   
 4. Mr. Tanganyika

  Mr. Tanganyika Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaongea kwa staili ya popo, si mnyama na si ndege. Amua kuwa na msimamo na ubonyeze kizenji au kitanganyika. Kwa Tanganyika....Zanzibar haina tija kwetu.
   
 5. M

  MFILIPINO Senior Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwasikiliza wa zenji ni kuumiza kichwa bure
   
 6. F

  Fahari omarsaid Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni dharau izo kwa1 itakuwaje tukubali kupelekeshwa na miji2 ya bara ambao hawajui kusaini hata mikataba {TRL,MADINI,DOWANS,AIR TZ,BANDARI}na ictoshe mijitu yenyewe ya bara munapelekeshwa na WAHINDI munabisha thn km RWANDA imetoka kwenye vita majuzi 2 wamewapita nyinyi watanganyika itakuwa sisi ambao hatuna vita km kweli mnata kuvunja muungano kwanza vunjeni na WAHINDI mafala nyinyi au njooni ZNZ tuwafundishe jinsi ya kusaini MIKATABA
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  red: ndio maana mmefeli form four, huko Zanzibar rushwa ya ARDHI IMEVUKA KABISA KIWANGO CHA KENYA YA MOI.kwa nini kila mzanzibar ukimuuliza way foward ya zanzibar hakuelezi bali ataanza historia eti Mwalim na dhuluma dhidi yao.Nipe distinct hoja kuwa afta Muungano kuvunjika zanzibar itasonga kwa hiki na kile kwa sababu hii na hile.
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwanza watanganyika hatuna tena hiyo nchi, sasa unamlalamikia nani?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mada nyingine bwana... sijui tunakula nini asubuhi
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nlikjibu nikidhania ni mtu wa hoja kumbe wa kejeli.
   
 11. c

  chamajani JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh! Mkuu Bora hao watanganyika wanaoingiya mikataba mingi mibovu then wakitaka wanaivunja(japo watalipa fidia) kuliko wazenji waliyoingiya mkataba mmoja tu(union) ambao hawawezi hata kuuvunja (japo kwa kulipa fidia).
   
 12. A

  Anold JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Anayedhani amefanyiwa rafu kwenye mitihani aliyofaya akate rufaa baraza la mitihani fomu za kukata rufaa zimewekwa kwenye mtandao aidha kwa hao wa visiwani wajue wazi kulikuwa na sababu ya msingi mitihani kuwa katika masuala ya muungano maana soko la ajira liko Tanzania bara hivyo ili kuleta uhakika wa waajiriwa kutoka pande zote za muungano lazima waelimishwe na kutahiniwa kwa kiwango kile kile, sababu zinazotolewa kuwa matokeo yamechakachuliwa kwa upande wa zanzibar hayana msingi kwani hata Tanzania bara hali ni hiyohiyo. Vyanzo vinavyosababisha wanafuzi wa feli vipo wazi, yule ambaye anadhani hakutendewa haki kwenye mitihani yake achukue hatua ya kulalamika baraza la mitihani na mtihani wake utasahihishwa kwa upya. Nafikiri wengi hawajui hili la kukata rufaa kupinga matokeo. angalieni kwenye website ya baraza la mitihani mtaona matokeo ya rufaa pia hizo fomu zinapatikana
   
 13. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Shule za kata ambazo hazina walimu wa kutosha na zimekuwa nyingi sana siku hizi ndio chanzo kikubwa cha wanafunzi kufeli
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Any way, muungano huu ni wa ridhaa ya nani? maana hata watanganyika tunataka kujua kwanini chi moja ilifutwa na nyingine kubakia. hii inaweza kusababisha matatizo mengi pande zote mbili za muungano. Hili ni swala la marekebisho makubwa ndani ya katiba ya Tanzania. Ila inabidi muungano upate referendum, na context zake ziangaliwe upya. Nafikiri suala la kiusalama baada ya mapinduzi lilielekeza Muungano. Sasa inabidi uangaliwe upya. Prof Babu alijua mengi, uliwahi kuongea nae?
   
 15. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,726
  Likes Received: 1,633
  Trophy Points: 280
  lekebisha kichwa cha habari ndio tuchangie
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sikupigii magoti ili utoe mchango wako mbona wengine wameelewa au ulipata division ya form four 2010 ya wazanzibar?
   
 17. Mr. Tanganyika

  Mr. Tanganyika Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sema 'rekebisha' na sio 'lekebisha' kiswahili kama mzanzibari!
   
 18. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,924
  Trophy Points: 280
  yaani kitu cha kwanza kinachonikera duniani kote ni uislam, cha pili ni zanzibar, na cha tatu ni mabwabwa...zanzibar ni kero hata kuisikia masikioni mwangu, huwa natamani hata leo hii wajibague waende zao huko..mbona kiraka hiki kwenye nchi yetu?
   
 19. Dubo

  Dubo JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kwani bara hakuna waislamu? Au wewe ni CHADEMA?
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mama nimeshasema huko nyuma kuwa ukishindana kugaragizana na Nguruwe kwenye tope wakati mwenzio analipenda basi utakayechafuka ni wewe,hivyo ni bora kumwacha kwenye tope lake.
   
Loading...