Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 388
- 271
Kama unajua sheria.za tz.subir.ukamatwe nayo
wewe lazima shabiki la man u
Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3
Matusi ya nini ndugu yangu?
Weka picha.Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?
Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3
Je umesoma Rasimu ya Pili? Sijui nianzie wapi kukufundisha. Ogopa kuweka uzumbukuku wako hadharani.
Tanganyika njoo haraka. Haiwezekani damu ya wapigania uhuru ipuuzwe.
Tukae tujadili saiv?? Si tumeshakaa na kujadili jaman na hayo yote unayojiuliza yameainishwa kwenyr rasimu ,namna yatkavyoendeshwa.
Kila aliesom rasimu hajiulizi mara mbili mbili ,ila wavivu wa kusoma ndo hao ambao tunawaona wanapig piga mayowe