Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

katika hali ya kawaida nilitegemea majibu kwanza ya nilichouliza kuliko kuwa kama kasuka kuigiza kila ninachofanya,ok anya wayz pengine ndio kilema chako maana wanasema kila binadamu ana kilema fulani,je kwa ufahamu wako labda polisi kwa nini inamshikilia ponda tena mind you kinyume cha katiba?pengine unaifahamu sababu ya wao kufanya hivyo ndio maana ungependa na unafanya jitihada za makusudi kujaibu kushabikia ubakaji huo wa haki za raia?

Ndugu, Ponda anazo TUHUMA kadhaa; kwamba hiyo ya kuchoma makanisa ni miongoni mwa hizo tuhuma mimi sifahamu wala simo! Ila kama hiyo ni miongoni mwa tuhuma, siyo kazi ya Lipumba na CUF yake ku-rule out kwamba ni UONGO au SIYO UONGO bali ni kazi ya Mahakama pekee na hoja iliyoko mezani ndiyo hiyo! Otherwise, huyo Shehe kupewa dhamana ni suala ambalo halina mjadala. Natumaini umeelewa sasa.
 
quote_icon.png
By ni_mtazamo_tu chadema imekuwa chama cha ukiristo mno sasa, kilivyoanza nilihamasika na nilitamani kiungane na CUF ili tuing'oe CCM madarakani ila ss hv ni wazi kuwa mnasimamia kanisa na kiongozi yoyote wa kiisalm ni mdini ila wa kikristo ndio mwanademokrasia, tunapokwenda huku sipo, ila kama ni hivyo mnataka kanisa ndio litawale nchi basi ingizeni chama rasmi cha kanisa na sisi tutaingiza cha sheria na mahakama za kiislam, halafu kwa mujibu wa sensa yenu ile ya TBC mnaaminishwa kuwa nyinyi ndio wengi ila sote wenye akili timamu tunajua wengi ni kana nani, na kwa taarifa yenu tu khilafa will be back, i am sure u can read the signs egypt, mali, nigeria, middle east, somalia, kenya, tanzania, asia, russia, europe and america. Nd sisi hatuna chuki na wakiristo wala wasiokuwa waislam bali nyinyi wengi wenu mmepandikizwa chuki, soon we will rule the world peacefuly

ni_mtazamo_tu said unnecessarily a lot, kalabash comment wrong!
the thing is powerful nations are NOT christians but they support it so badly!!

I am completely unable to get any meaning of what you have written. Can you ask a friend to help you put your message correctly please!
 
You need to think so greatly to understand it, i am sorry!!
 
nadhani anakusudia kusema ukristo unapendelewa naserikali nyingi duniani, mfano wa karibu ni tanzania
 
You need to think so greatly to understand it, i am sorry!!
Hivi ulishaona nchi za Kikristo zina vurugu? Sasa cheki kwa magaidi, Syria, Iraq, Iran, Tunisia, Libya, Misri, Afghanistan, Pakistan, Misri, Indonesia, Uturuki, Saudi Arabia, etc. Dini ya kutoka kwenye ibada na mchana huo huo mnaokota mawe na kuingia mitaani kuvuruga amani na kuchoma moto mali ambazo hazihusiani na madai yenu ni dini kweli hiyo? Kama siyo magenge ya wahuni ni nini? Inawezekanaje mhubiriwe amani lakini mkitoka nje tu mnavuruga amani? Kama vile haitoshi, ni dini pekee wanayochapana bakora wenyewe kwa wenyewe mle mle misikitini! Tena, wanaandamana kupinduana wenyewe kwa wenyewe kwenye uongozi. Wakristo kwa madhehebu yao yote hutaona wakipigana, wakiandamana, wakichoma moto mali wala kuchochea chuki. Hiyo ndio IMANI SAHIHI inayoweza kumshawishi hata mpagani kuifuata. Lakini dini ya kiislamu, ni vurugu tupu labda hadi wanyolewe ndevu kama Sheikh Farid wa Uamsho ndio utaona wanatulia. Utadhani nguvu zao zote ziko kwenye ndevu! Idiot!
 
Wasomi wetu wengi wa Kiislamu huwa na tabia ya kuuweka pembeni usomi wao pindi linapotokea jambo linalohusu Uislamu/ Waislamu.
Sijamshangaa Prof Lipumba kwa kauli yake ktk 'Mwananchi' leo.
 
Mkuu hapo kwenye red; kwa nyongeza tu, wale waliohukumiwa kuuwawa kwa mujibu wa dini yao hupigwa mawe hadharani mara tu baada ya swala ya Ijumaa waumini wote hadi watoto wadogo wakishuhudia! Hii ndiyo inayojiita dini ya amani na unyenyekevu! Huu ni zaidi ya ukatili kwa viwango vyovyote vile.

Asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumrushia jiwe - andiko hili litawahukumu sana enyi watu.
 
Hivi ulishaona nchi za Kikristo zina vurugu? Sasa cheki kwa magaidi, Syria, Iraq, Iran, Tunisia, Libya, Misri, Afghanistan, Pakistan, Misri, Indonesia, Uturuki, Saudi Arabia, etc. Dini ya kutoka kwenye ibada na mchana huo huo mnaokota mawe na kuingia mitaani kuvuruga amani na kuchoma moto mali ambazo hazihusiani na madai yenu ni dini kweli hiyo? Kama siyo magenge ya wahuni ni nini? Inawezekanaje mhubiriwe amani lakini mkitoka nje tu mnavuruga amani? Kama vile haitoshi, ni dini pekee wanayochapana bakora wenyewe kwa wenyewe mle mle misikitini! Tena, wanaandamana kupinduana wenyewe kwa wenyewe kwenye uongozi. Wakristo kwa madhehebu yao yote hutaona wakipigana, wakiandamana, wakichoma moto mali wala kuchochea chuki. Hiyo ndio IMANI SAHIHI inayoweza kumshawishi hata mpagani kuifuata. Lakini dini ya kiislamu, ni vurugu tupu labda hadi wanyolewe ndevu kama Sheikh Farid wa Uamsho ndio utaona wanatulia. Utadhani nguvu zao zote ziko kwenye ndevu! Idiot!

You mentioned many countries but why NOT mecca where the Religion has its base! you can not have answer to this as well! think again, later I will tell you every unknows!
 
Hili ndilo tatizo la kuishia madrassa, sasa hiyo kwenye bold ndio nchi gani katika ramani ya dunia? Mi nilikuwa naorodhesha nchi na wala siyo miji, au wewe Mwalimu wako alikuwa Philipo Mulugo?
 
Wasomi wetu wengi wa Kiislamu huwa na tabia ya kuuweka pembeni usomi wao pindi linapotokea jambo linalohusu Uislamu/ Waislamu.
Sijamshangaa Prof Lipumba kwa kauli yake ktk 'Mwananchi' leo.

It looks like you talking the truth! religions sometime use to be like women the way they drive their "their husbands"
regardless of educational background of post!
 
Hili ndilo tatizo la kuishia madrassa, sasa hiyo kwenye bold ndio nchi gani katika ramani ya dunia? Mi nilikuwa naorodhesha nchi na wala siyo miji, au wewe Mwalimu wako alikuwa Philipo Mulugo?

I think it was a slip of the keyboard! anyway you got it! Saudi arabia is more political name as you mentioned but I do not think that there are religious disputes in Saudi Arabia! do they exist? if yes, I can not give you a secret behind what is going on all over the world about Islam!
 
Ndugu, Ponda anazo TUHUMA kadhaa; kwamba hiyo ya kuchoma makanisa ni miongoni mwa hizo tuhuma mimi sifahamu wala simo! Ila kama hiyo ni miongoni mwa tuhuma, siyo kazi ya Lipumba na CUF yake ku-rule out kwamba ni UONGO au SIYO UONGO bali ni kazi ya Mahakama pekee na hoja iliyoko mezani ndiyo hiyo! Otherwise, huyo Shehe kupewa dhamana ni suala ambalo halina mjadala. Natumaini umeelewa sasa.

Naona unatapatapa tu,okey whats your opinion kuhusu dhamana?maana ndio suala la msingi la lipumba
 
Kama haya ndiyo mawazo ya profesa na sisi ambao tuliogopa umande tutakuwa na yapi?

Commonsense is not a gift it is a punishment because you have to deal with anyone who doesn't have it

Ni ngumu sana kumuelewa Prof Lipumba, hata akirudi kugombea Ubenge kwao Tabora na akasimamishwa na msomi wa Ngumbalu, Prof hawezi kupata huo Ubunge.
 
I think it was a slip of the keyboard! anyway you got it! Saudi arabia is more political name as you mentioned but I do not think that there are religious disputes in Saudi Arabia! do they exist? if yes, I can not give you a secret behind what is going on all over the world about Islam!
BTW I don't need to hear or even see these terrorists with their Islamic religion. I usually run an Antivirus in my head to get rid of any stories I once heard about this religion!
 
Katika nchi yenye mihimili inayofuata demokrasia.. tucingecikia kelele za kuitaka serikali kumuachia huru mtuhumiwa kwa kuwa mhimili wa mahakama ndo ungekuwa unahucika na hili.. Bt kwa hapa bongo.. mahakama iko chini ya serikali..
 
marekani nchi yenye mfumo mama wa kikristo ndio nchi inayoongoza kwa idadi ya watu wanaosilimu kwa mwezi wengi wao wakiwa wanawake, nd ww unayesema waislamu tunapigana wenyewe kwa wenyewe cjui huna upeo w kuyaangalia mambo kiundani au unayachukua tu juu juu na kuyasambaza, mbona sisi hapa tuliambiwa tusipokuwa waanglikana (ndoa za jinsia moja) tutakosa misaada hatujajudge kuwa wakiristo wote ni waanglikana
 
Hivi ulishaona nchi za Kikristo zina vurugu? Sasa cheki kwa magaidi, Syria, Iraq, Iran, Tunisia, Libya, Misri, Afghanistan, Pakistan, Misri, Indonesia, Uturuki, Saudi Arabia, etc. Dini ya kutoka kwenye ibada na mchana huo huo mnaokota mawe na kuingia mitaani kuvuruga amani na kuchoma moto mali ambazo hazihusiani na madai yenu ni dini kweli hiyo? Kama siyo magenge ya wahuni ni nini? Inawezekanaje mhubiriwe amani lakini mkitoka nje tu mnavuruga amani? Kama vile haitoshi, ni dini pekee wanayochapana bakora wenyewe kwa wenyewe mle mle misikitini! Tena, wanaandamana kupinduana wenyewe kwa wenyewe kwenye uongozi. Wakristo kwa madhehebu yao yote hutaona wakipigana, wakiandamana, wakichoma moto mali wala kuchochea chuki. Hiyo ndio IMANI SAHIHI inayoweza kumshawishi hata mpagani kuifuata. Lakini dini ya kiislamu, ni vurugu tupu labda hadi wanyolewe ndevu kama Sheikh Farid wa Uamsho ndio utaona wanatulia. Utadhani nguvu zao zote ziko kwenye ndevu! Idiot!

Jamani msimlaumu mapumba yeye ni orjino le profeseri if u know what i mean.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom