Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN

sasa wewe kama unafanya utafiti halafu unaelezwa na unakataa, una maana gani? ina maana kuwa unajua ila upo hapa kwa kejeli
Marytina tuheshimiane, mimi sifanyi siasa bali nafanya utafiti. Na huwezi kupingana na historia. Utapata wapi siasa leo usipoanzia jana. Ignorance of history made man to repeat same mistakes.
 
kumbe unajua? tueleze basi?
pls concentrate with an important issues, huko kuhubiri UN kutakusaidia nini wewe?
wenzako waanafanya utafiti wa kutumia solar energy,DNA engineering and others
wewe unafanya utafiti wa nani alihutubia UN?
kweli ndio maana Afrika tupo nyuma ya wenzetu maaradufu
 
Inasemekana Nyerere si mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN, na kwamba wapo waliomtangulia lakini wazee wakajikomba kwa babu wakapindisha historia......kuna mwenye data!

Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN ni chifu mareale,
 
Utafiti wako utakuwa mgumu sana mkuu kwasababu ya "Tanzania bila Zanzibar inawezekana :israel:" itakuchukua miaka hamsini kujua kuwa neno Tanzania linajumuisha neno Zanzibar ambayo ni nchi na kabla ya hapo yaani before 1964 hakukuwa na kitu kinaitwa Tanzania. NA ulivyo mbishi hadi ukijakukubali utafiti wako utakuwa umepoteza maana.

Tanzania bila Zanzibar inawezekana :israel: inanitia shaka na wigo wa uelewa wako na kuwa hukusoma somo la historia shuleni.
Moh Shossi hapo naona umetoa somo kali sio mchezo
nimekupa senks , huyo jamaa anayejiita reseacher wakati hajui hata anachotafiti ni nini ni ni kazi bure kabisa
 
Mtanganyika wa kqwanza kuhutubia UN ni bwana JAPHET KIRILO kutoka meru,ARUSHA!..
ALIKWENDA KUPELEKA MALALAMIKO KUHUSU MGOGORO WA ARDHI WA WATU WA MERU
 
kumbe unajua? tueleze basi?
pls concentrate with an important issues, huko kuhubiri UN kutakusaidia nini wewe?
wenzako waanafanya utafiti wa kutumia solar energy,DNA engineering and others
wewe unafanya utafiti wa nani alihutubia UN?
kweli ndio maana Afrika tupo nyuma ya wenzetu maaradufu

Mko nyuma kwa sababu hamtaki kufuatilia historia yenu iliyofutwa na mmebaki kuwa wajinga wa kutupwa, mnafata mikumbo tu...mkisikia dowans basi hamli hamlali mnalia dowans...mkisikia mabomu...hamli hamlali mnalia mabomu...kisha mnadai kufanya utafiti wa solar....uko wapi......kalagabaho na ubhozi wako
 
Unajua kuna watu wanajifanya wana hekima sana kumbe hawana kitu, mimi nimeuliza swali la kihistoria na kitafiti wao wananijia juu, halafu wanasema ndio maana hatuendelei. Mbona hawajiulizi kwa nini kuna mtu alikwenda UN na kwa nini mtu asiende sasa UN? Kama huyu Mallada, bure kabisa. Thanks Bin
 
Kitambo nlipata kujuzwa kuwa kuna mtanzania mmoja kutoka jamii moja iliyoko Kaskazini mwa Tanzania alienda mpaka Umoja wa mataifa(UN) kudai uhuru wa Eneo lake alilotoka na sio Uhuru wa Tanzania Nzima.
Ni ya kweli hayo? mwenye historia juu ya jambo hili Atujuze basi.
 
Kitambo nlipata kujuzwa kuwa kuna mtanzania mmoja kutoka jamii moja iliyoko kaskazini mwa Tanzania alienda mpaka Umoja wa mataifa(UN) kudai uhuru wa Eneo lake alilotoka na sio Uhuru wa Tanzania Nzima...
Niyakweli Ayo? mwenye historia juu ya jambo hili Atujuze basi.
Kwa historia iliyopindishwa na wanasiasa wetu tangu mwanzo kuna mengi Watanzania hatufahamu!

Mtanganyika wa Kwanza kwenda umoja wa mataifa kudai Uhuru wa safu ya mlima Meru na eneo jirani yake aliitwa Mzee Japhet Kililo kutoka jimbo la Mhe.Joshua Nassary kwa sasa.
 
Thankz kwa info nzuri alienda kudai uhuru wa Tz nzima au wa eneo lake tu?
 
Back
Top Bottom