Recent content by Mr.Reliable

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mawasiliano kwa wanandoa hupungua kuliko kipindi cha urafiki na uchumba?

    Hakuna kampeni baada ya uchaguzi! you know what I mean, dont you?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu kuiga sauti ya Ansoi wa BBC

    Hakuvutii wewe! ile ni taaluma kama anaiga kitu chema sio issue.Majungu tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    makabiliano yalikuwepo na watatu wamekufa lkn pia linaweza kuwa igizo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bendera za CCM zimeng'olewa Arusha

    madiwani kumi wajiunga na chadema teh! ndio kwanza upinzani unakua.ukanda na udini aliububiri JK na mwana.hata juzi alitukumbusha mr.Rizik
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati muafaka Lowassa kuanika ukweli juu ya Richmond aliosita kuusema wakati ule

    Mnataka kabla hajamaliza kutaja muhusika mkuu afe gafla? Vita nyingine hazipiganiki.Na ile ndoto ya August mnataka imukute July? teh teh kupigana na system ukiwa nje ni habari ngumu.kusema anataka, lkn mdomo utamponza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zahara Muhidin Michuzi ajitosa viti maalum Tabora

    Angalia nakoz, amepiga mkorogo nawachukia hawa rangi tano.kalio jeusi, uso una blue na nyekundu, vidole navyo rangi mbili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii 'The August' ni secret code ya nini?

    The August. Acha ninyamaze tu
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananipenda lakini chamoto nakiona

    Duh pole kwa kutaja maneno ya kingereza.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joh Makini ashika namba moja MTV Base

    Big Up Mweuuuuuusii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Hawa si majambazi, kama watachukuliwa kimzaha hivi mimi sina cha kusema.hii ni hatari kubwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Kichokozi: Je, Harambee makanisani zimefika ukingoni au zitaendelea?

    ha ha ha umenifurahisha sana.Kwa hiyo Mungu aliweka mpango wa kuturejeshea pesa zetu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Namukubali sana Magufuli kwa utendaji wake, lakini kweli bila kupepesa macho phd za wanasiasa wengi ni za mbeleko.Mda wanaoutumia kwenye siasa ni mwingi sana lkn utashangaa mtu miaka mitatu ana phd. Mda huo unakinzana na ratiba zake kabisa kwa kuwa huo ni mda wa fulltime.ACADEMIC POLITICS
  13. M

    JamiiForums Tanzania TBC uchukuaji wa picha live O star TV hongeren

    kwenye ubora wa vifaa Azam ndo wakumshindanisha tu na tbc.wana studio bora kabisa lbd shida iko kwa wachukuaji wa picha.star wamezidisha rangi tu.kwa mimi macho yangu mabovu tbc ndo wanarangi nzuri kwangu na sauti ni tulivu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ufafanuzi juu ya Islamic Banking

    Mimi nadhani mnabishania sheria tofauti hapa ambazo zina tafisiri tofauti pia, kati ya sharia na common law ambayo sijui kiswahili chake.
  15. M

    JamiiForums Tanzania TBC uchukuaji wa picha live O star TV hongeren

    dah kweli tumetofautiana.mimi naona ya tbc ndo iko clear
Back
Top Bottom