Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 621
PhD sio ngumu kama umebarikiwa kipaji cha ubunifu wa mambo amabyo inaweza kuwa ni contibution to the already existing knowledge i.e kuimprove au kurefute the existing theories or understanding, inaweza kuwa ni new innovation. Inategemea PhD yako imeegemea wapi na uwezo wako kiubunifu na uelewa wa somo husika (intelectual creativity and understanding of the subject matter).
Hivyo kusema PhD ni ngumu ni sawa na kumuambiwa mwanafunzi wa form six ni ngumu kupata master degree.
Kwa kigezo kwamba PhD ni ngumu ndio maana kila mmoja hana, basi tutasema elimu ya chuo kikuu ni ngumu ni ngumu ndio maana si kila mmoja watu ana bachelor or even master degree. Ni kukatishana tamaa. Kigezo ni kwamba tumebarikiwa tofauti kwenye intellactutal creativity and understanding, hivyo ndio maana wengi wanaona PhD ni ngumu.
Hata hivyo, kupasi au kufell katika masomo ya uzamili na uzamivu kunategemea na background ya mtu. Kwa wale ambao wamezamia kwenye topik ambazo wamaanza kuzifanyia kazi tangu kwenye project za shahada ya kwanza, topic hiyo hiyo akaibobea kwenye shahada ya uzamili halafu akaizamia zaidi kwenye shahada ya uzamivu, PhD ni kama kumsukuma mlevi.
Kama PhD ya Magufuli ni ya kununua hapo ndio issue, lakini sio amemaliza kwa katika muda gani. Na kama ameinunua, ni kwa thamani gani na aliyemuuzia ni nani. Washitakiwe!
Nakugongea thanx dada.... ila suala moja tu !!!! washtakiwe kwenye mahakama gani??? Magufuli tayari keshamnunua jaji.kwa hiyo hata kama ukimuweka loya itakuwa ni kazi bure