TBC uchukuaji wa picha live O star TV hongeren

TBC uchukuaji wa picha live O star TV hongeren

vevenononombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
1,289
Reaction score
421
Nimefuatilia matangazo live ya televisheni mkutano mkuu wa ccm bila shaka imeonekana wazi Tbc inachukua picha ktk ubora hafifu sana kuanzia kwa mzungumzaji na coverage angle walioona hilo wanaweza kutazama tofauti ya picha hizo
 
Azam hana mpinzani. Sauti safi, picha
HD quality. Kama tupo ukumbini Dodoma vile.
 
TBC wanaonyesha vibaya rangi zao sijui ni mitambo ya kianalogia na camera mbovu. Star TV wako vzuri hadi kwa colour.

kwenye ubora wa vifaa Azam ndo wakumshindanisha tu na tbc.wana studio bora kabisa lbd shida iko kwa wachukuaji wa picha.star wamezidisha rangi tu.kwa mimi macho yangu mabovu tbc ndo wanarangi nzuri kwangu na sauti ni tulivu
 
tbc vifaa wanavyo vya kisasa kabisa tatizo ni watendajiwao, wote ni wazee waliosoma enzi za analogia, watakuaje na umahiri wa kutumia vifaa vya kidijitali?
tatizo la hapo tbc ni kutoa ajira kwa kujuana, embu tazama mizee ilivyo jazana, jana baada ya kutuonyesha utendaji wao kivitendo, walikuwa wana kazi ya kujisifia wao na gari lao la matangazo, utendaji ziro.
 
Back
Top Bottom