maswi masero
Member
- Jul 14, 2015
- 18
- 1
Lakini waliikubali chadema kwakuwa ni chama cha kaskazini na ni saccoss ya wachaga! Bora leo umeseme mwenyewe Bavicha! Lakini pamoja na hayo huwa ham affect matokeo ya nafasi ya Urais...
Hawa watu ni wakabila hakuna tena, ila waelewe kitakachofata watakubali wenyewe ama labda kama hawaridhiki wahamie Kenya
Uonevu wa magufuri siyo kuchoma nyavu tu, kuna alama za X nchi nzima ambazo kama si tamko la waziri mkuu na rais la kusimamisha bomoabomoa bila malipo , kilio kingekuwa kikubwa zaidi, na aliapa kuwa kuna siku zitabomolewa tu. Sasa kichaa kapewa rungu mchagueni muone kazi, hakuna wa kumzuia.Kanda ya ziwa bendera za ccm zimeadimika sana.Magufuli alituchomea nyavu zetu hatumtaki aende arusha
WABAGUZI ni wale waliotangaza kuwa raisi hawezi kutoka KASKAZINIHawa watu ni wakabila hakuna tena, ila waelewe kitakachofata watakubali wenyewe ama labda kama hawaridhiki wahamie Kenya
na kanda ya ziwa zinaisha mwaka huu tuone,
Nkobe
nyie wajinga na siasa zenu za ukamda na ukabila,watu wakiwasema mnalalamika mimi mmwenyewe nakaa arusha nasikia wanayoyasema
,naomba na kanda ya ziwa zote za upinzani wazingoe tuone na ukabila wanu,
mungu anapompanga mtu kuwa rais kwake sio ukanda wala ukabila bali mtu sahihi wa kuongoza taifa,
Unategemea nini wanywa gongo,viroba na banana wanapo kutana? Wao wanacho waza ni kuvunja sheria na kuharibu amani tuu!
Uwezi kutaka kukabidhiwa nchi ikiwa hujakomaa kisiasa na wala huna uvumilivu kwa wengine!
Hii ni moja ya sababu ya nyie kukosa kura za watu wengi...kuna mtu anaweza kufikiri kuwapa kura lakini akasita maana akiona matendo yenu hamna tofauti na vikundi vya waasi au maharamia!
Ikulu mtaisikia kwenye bomba..