Sasa hapa mada Si ni Joh makini au?
Kiba na mond wote ni makadashiani.
watu wengine bwana, pengine ndo msanii pekee anayemjua tusimlaumu sana
Kwel haya n maajabu...huo wimbo hauelewek hata kdogo...
Sili ka li mbwa koko.Nusu saa mshale, Nusu Suruali, Nusu kwenye Glass,
Mawaidha ya kwenye party hakuna Leta...
Njaa tumeshaikimbiza maKm.
Sirikali Umbwa koko, Kutoka Uswazi siachi ukoko.