Duh Jf bwana. Mnauhakika gani kama mchawi?
soma mada yake upate uhakika
Duh Jf bwana. Mnauhakika gani kama mchawi?
Watu wengine wanavyopenda kutapeliwa fedha zao na waganga, sasa huyo wichidokta anamfahamu vipi huyo gf wako au ulikwenda nae?
Nilidhani elimu imetukomboa kumbe bado kabisa.
ulienda kw mgangaaa?
kuna ex alikuaga na tabia hiyo ananunaaa wiki 2 hataki hata salamu, mie nakosa raha ila siku mnuno ukimuisha anakutafuta mwenyewe....sasa kuna siku kanuna hadi mwezi umepita kurudi nikampiga stop sitaki stress mpaka leo analialia kabadilika! huyo wako mtafutie funzo naye ataacha tu
Wakati mwingine kuna haja ya kutulia uli umri ukisogea mambo mengine yatajifunua yenyewe....
Kuna tabia za kimsingi za wanawake ambazo ni nadra sana kukuta mwanamke hana,hili huwezi kulijua hadi pale utakapokuwa na umri fulani kwasababu utakuwa umeshakutana na vituko hivi mara kwa mara na utakuwa umejifunza
Kuna wengine hata mwanamke akiwa na ujauzito halafu akawa hali vyakula fulani basi kwao linakuwa ni tatizo kwasababu hawajui kama unauzito unasababisha haya na akijifungua yote yanakwisha,suala hili linataka kufanana na hili lako...
Wanawake kununa na kususa ni kama kawaida yao na hili unapaswa kulijua,mnapotofautiana na mkeo/mpenzi wako na akanuna wewe usijali wala usionekane kukwazika bali wewe chukulia kawaida tu na atarudi mwenyewe kwenye hali ya kawaida na kama ni kubadilika atabadilika mwenyewe bila shuruti kabisa
Wakati mwingine anafanya hivyo ili kutafuta attention kutoka kwako baasi,sasa wewe ukihamanika utaharibu mambo zaidi,ndio maana wakati mwingine kuwa na mke kwenye umri huo mdogo ni hasara sana kwasababu unakuwa hujui baadhi ya mambo ya msingi!!
Psychologically when the client need counselling its better when the counsellor take the problem as if its own probkem ...but when you make jokes its simply to increase stress and brain mismanagement to the client.....so I would like to advice my wanajamii that..try to read the post and understand it well then you may give your opinion...Don't judge a person through one mistake done...its true you confuse him....
Mhh, hiyo kanuna tu umemwendea kwa waonaji ( wapiga ramli)!! Siku akikusaliti sasa si ndio utaomba kuonana na shetani!!!?