Recent content by Mr. Politician

  1. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Bucha La kitimoto

    Huko Ni kwenye mabucha Au Ni zile zimeshaandaliwa?
  2. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Bucha La kitimoto

    Habari ya jumapili wadau, Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni. Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua imekaa muda mrefu.
  3. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Hawa ni chura wa aina gani?

    Utakua umejaaaliwa
  4. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu hawa mbu wa sasa

    Watu wa mikoani mna wivu sana
  5. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Kwenye Vikao Vya Harusi

    Sukari imeadimika
  6. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Si wabunge wanatafuta kwanza hela halafu Ndio waje kuzitumia kutatua changamoto
  7. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari wacha hadaa kwenye media

    Nafikiri Kama halmashauri imeweza kujadiliana Na mmiliki Hadi akakubali kuhama bila vurugu Ni jambo la sifa. Suala la viongozi wa halmashauri kwenda kubomoa inaweza kuwa Sawa Na sherehe ya ufunguzi wa jengo au barabara
  8. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

    Halafu Hata asingehangaika kujificha Nina uhakika manesi Na madokta wa mwananyamala Hata hawamfahamu Kwa sura
  9. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi na tiles majumbani

    Picha
  10. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tv inch 21

    Njoo uchukue HITACHI
  11. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania nyumba inauzwa Survey ya mlalakuwa

    Mweh Ntyumba ya Vyumba vitano ndani ya eneo la sqm 160 na zinaingia gari tano..... Nataka kuja kujionea maajabu
  12. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania Brand New: HP Pavilion DV7 of 2012 for sale

    lamba 600
  13. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania selling xperia arc s

    300k unachukua?
  14. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

    Serikali ndiyo iliyoanzisha mgoma kwa kugomea maboresho katika sekta ya afya. Kinachotokea kwa madaktari ni wao kushindwa kufanya kazi kutokana na mgomo wa serikali. HUDUMA BORA TUTAZIPATA SERIKALI IKIACHA MGOMO
  15. Mr. Politician

    JamiiForums Tanzania SUBARU FORESTER KALIIIIII....Inauzwa

    Tukaunywee mpunga huo sasa
Back
Top Bottom