DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa viongozi wetu sasa Ni balaa hii inaitwa 'vizia vizia' .

Naona mleta uzi ndiye mpiga picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Viongozi wa awamu hii Kwa mbwembwe balaa kwani mpaka ujifanye mwananchi wa kawaida ndio ujue matatizo ya upatikanaji wa Huduma? Acheni mbwembwe
 
Hilo kapu la Karanga kichwani katoa wapi na bado aende kuopoa dada poa
 
Hapa kuna shida ya kiuongozi kabisaa. Kama alishitukiza kutembelea hapo hospitali hizo picha za kujiandaa na kupiga kwa lengo la kurushwa hapa zimetoka wapi na za kazi gani hapa? Viongozi wanatakiwa wafanye kazi na si kufanya sarakasi za maonyesho hapa. Nawe na mleta mada hakika kama angelikuwa ana japo chembe ndogo tu ya utambuzi katika fahamu zake hakika asingelithubutu kuleta upuuzi huu hapa.
You must realize this is a new era. Whether with prior arrangement or not, there are newsmen everywhere.
Secondly, dissemination of information is no crime and serves positively in a lot of ways. So, i don't see anything wrong whether he went along with reporters or not. Unless you have a hidden agenda, i give the man a clean bill of health.
 
Mkuu camera muhimu sana hata juzi tulikuwa tunatoka Dodoma tukashuka Dumila kwa wachoma mahindi mabichi tukapiga picha.

Hata tulivyokuwa tunatembelea soko la Tandale kuongea na wauza mchele na maharage tulikuwa na camera zetu.

Hata siku ule tulivyopanda daladala la gongolamboto tulikuwa na camera zetu unakumbuka kamanda.
Wabongo wakati mwingine akili zetu tunazijua sisi wenyewe, tunadharau vyombo vya habari kipuuzi kabisa. Kila mtu maishani kuna wakati anakuwa anahitaji chombo cha habari karibu yake,hakuna anayeweza kuikwepa nguvu ya media.
Huwa sishangai mzee Reginald Machache kila taarifa ya habari ya saa mbili usiku lazima kuna tukio linalomhusu na matokeo yake anabakia kuwa relevant kwenye jamii. Wabongo wakati mwingine hawajui kitu halafu hawajui kwamba hawajui chochote.
 
Na bado unajiona eti una akili......Comment ya kipuuzi kabisa...eti kila taarifa...eti Lazima
Viroba ulivyokunywa jana usiku bado vinakusumbua kichwani, wenye akili timamu wamenielewa namaanisha nini. Wewe mzungusha mikono upeo wako mdogo huwezi ukaelewa kitu.
 
Ghafla hiyo na hizo picha itakuwa kamera za hospitalini zimemchukua
 
hawa jamaa wa magufuli nowdays wamekuwa interpol nn kama ninja vile daaaah
 
Viroba ulivyokunywa jana usiku bado vinakusumbua kichwani, wenye akili timamu wamenielewa namaanisha nini. Wewe mzungusha mikono upeo wako mdogo huwezi ukaelewa kitu.
hahahahahah...na hapo unajiona una akiiiiiiliiiiiii.....hovyo saa aisee...Let people judge you...na sio wewe kujitapa...eti ooh...una upeo mpana...oooh una akili.....grow up man
 
Halafu Hata asingehangaika kujificha Nina uhakika manesi Na madokta wa mwananyamala Hata hawamfahamu Kwa sura

Hata mimi hadi Leo aje huyu DC ajichanganye ofisini kwangu bado simjui kabisa kofia haikuwa na haja kabisa. Ndio anatafuta kufahamika Kwa kutembea usiku amuulize popo Kama asingefanana na panya hakuna ambaye angempa umaarufu.

Watoa huduma za afya naona viongozi wanawavizia Sana Sio vizuri [emoji12][emoji12]
 
Hapa kazi tu, piga kazi kaka!! Watu wengine nyinyi tushawazoeya, na asingekwenda ungeibuka na hoja apa dc yuko wap malalamiko hispital ya mwananyamala hayackiii..
Khamisi acha ushabiki wa kisiasa, ukiweka standard operating procedures na zikasimamiwa ipasavyo haihitaji watu kuibuka usiku. Supervisor tu atamaliza kazi na DC atapiga usingizi na mkewe na hii ni wilaya zote Tanzania
 
Back
Top Bottom