Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
MAJUZI NILITUMIWA MESEJI NA DADA MMOJA ANAISHI PALE MIKOCHENI_B KARIBU NA ALPHA PALE,
HUYU DADA TULIWAHI SOMA SOTE TAASISI FLANI HAPA TOWN.
MESEJI INANIOMBA NA KUNISISITIZA SANA NISIKOSE KWENYE KIKAO CHA HARUSI YAKE KITAKACHOFANYIKA CLUB_117 KULEKULE MIKOCHENI,
AKANISISITIZA KUWA NITUME UJUMBE WA CHAKULA GANI NAKIPENDA,
NYAMA GANI, PIA SAMAKI GANI,
BILA KUSAHAU AINA YA VINYWAJI, NA MAPOCHOPOCHO MENGINE,
ILI KUWE NA SPECIAL_PACKAGE NA KINGINE NIWEKEWE TAKE_AWAY CHA KUBEBA NYUMBANI KABISA.
BASI NIKAFURAHI NA KURUKARUKA KICHIZI!
___
SASA JIONI HII KANIPIGIA,
ANANISISITIZA NA KUNISIHI SANA
NISIKOSE HICHO KIKAO,
NA KUWA KARIBIA WATU WOTE WAMESHAKOMFEM,
BADO MIMI TU.
NIKAMWAMBIA FINE ANIPE DAKIKA TANO NI_ARRANGE KIDOGO,
KISHA NITAM_TRACE.
KABLA HATA YA DAKIKA 3 AKANIPIGIA TENA,
AKISEMA
"Eenheeh,
Seneta Wa Mtwiz,
Tambua kuwa Wewe ni Mtu muhimu sana Kwenye Hiki kikao,
Hivyo Jitahidi iwezekanavyo uwezavyo.
Your presence matters a lot Brother."
NIKAMWAMBIA,
"Nipe dakika 3 nitakucheck."
KISHA AKATUMA TENA MESEJI,
"I am here pending waiting to hear from you @Seneta."
_________
SASA HAPA KUNA BROTHER WANGU KANIULIZA,
KWANI KULIKONI MDOGO WANGU.
NIKAMWELEZA UHALISIA,
KUWA KUNA DADA TULISOMA SOTE,
SASA ANANG'ANG'ANIA SANA NIHUDHURIE KIKAO CHA KWANZA CHA HARUSI YAKE.
_____
BRO. AKANIULIZA,
"Ni vizuri kwenda kusapoti wenzio,
Ila Ushawahi kuhudhuria kikao chochote cha harusi??
Uko vizuri??
Pia una imani??"
NIKASHANGAA SANA NA KUMUULIZA,
"Sijawahi Brother
Kwani kuna nini?
Pia Kuwa vizuri
Na
Kuwa na imani kivipi?"
AKANIAMBIA,
"Dogo,
Mjini hapa.
Ndoa sasa Hivi ni miradi ya watu,
Tena ni miradi mikubwa zaidi ya ile miradi ya Malaria na Kifua Kikuu.
Haiwezekani wakualike kwa msisitizo kiasi hicho Kwenye kikao Tu,
Tena wakuandalie menyu nene nawe ukaidufue kirahisirahisi Tu.
Mimi Kaka'ako nilishaacha kuhudhuria hizo mambo,
Baada ya kuona unapitishwa mchango matata sana usio wa hiari kikaoni.
Wasio
na cash wanaseka ahadi ya lini watatoa,
Na ni hela ndefu Lazima ufikiche pua pindi unapoitoa.
So nenda kikaoni,
But Take It From Me."
******
SASA WASH'KAJI EEEEEEEH,
HIKI ALICHOKIONGEA KAKA'ANGU KINA UKWELI WOWOTE KWAMBA KWENYE HIVI VIKAO VYA NDOA KUNA MIRADI YA UDUFUAJI
AU
NI WIVU TU ANAONA MIYE NITAENDA KUFAIDI NYAMA CHOMA YA MBUZI JIKE NA MISH'KAKI YA PWEZA???
NIPENI IDEA FASTA,
ILI NICHENJI MOSHENI
ANGANI,
MAANA'KE KIKAO NI J.3 JIONI.