Hawa ni chura wa aina gani?

Hawa ni chura wa aina gani?

Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......

Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....

Chura mwenyewe. ..

Utakua umejaaaliwa
 
Ha,haaaaa....watu mna utani,eti chura wa snura dah.jf rahaaa
 
Sina jina lao ila hao ni miongoni mwa chura venomous! Kuwa mwangalifu in handling them
Hivi wale wa Kihansi wakoje? Je wana sumu? Je walisharudishwa toka USA sababu walikuwa viumbe wa kutoweka wakapelekwa kuhifadhiwa kule.
 
Leo nimeangalia kipindi cha Uswazi kuna jamaa anafuga hawa vyura sasa ningeomba kama kuna wataalamu wa viumbe vya majini watuambie hawa vyura nia aina gani?

d61c9b987c682d64e783c894c6db68a8.jpg


26f857186cd91a3d4027653d527169d0.jpg
Wazuri Wana makanyagio ya tofauti na wale Wa snura, wanakumnukumbu ya kurudi mahali wanapoishi, wanafahamu watu

hii ni kwa majibu ya anayewafuga
 
Back
Top Bottom