nyumba inauzwa Survey ya mlalakuwa

nyumba inauzwa Survey ya mlalakuwa

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
6,361
Reaction score
9,676
nyumba inauzwa survey inavyumba vitano na vyoo viwili na sebule moja. ina eneo lenye ukubwa wa sq m 160. ina maji na umeme. zinaingia gar nne vizuri. ina fence na ni mpya. bei ni mil. 130 mawasiliano piga no. 0786614846.
 
Duh.....eneo la sq metre 160! (10m x 16m)? Bei 130m? Weka picha mkuu!
 
Mweh Ntyumba ya Vyumba vitano ndani ya eneo la sqm 160 na zinaingia gari tano..... Nataka kuja kujionea maajabu
 
Mweh Ntyumba ya Vyumba vitano ndani ya eneo la sqm 160 na zinaingia gari tano..... Nataka kuja kujionea maajabu

Kuna mwingine anauza viwanja uko Chamanzi vina urefu wa futi 40x52! Kwa milioni 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom