Joshua Nassari wacha hadaa kwenye media

Joshua Nassari wacha hadaa kwenye media

Wajinga wajinga kwa maana ya wewe unayeongea na mjinga mjinga au kwa maana ipi?. Mnavinyima nafasi ya kukua vyama vyenu mnavyovipenda kwa sababu ya hii stupid superiority complex ambayo inaishi ndani ya vichwa vyenu.
stupidity dwells in you
 
Sadly enough your mind reflects those fellows that are easily blinded by cheap politicians. Wapuuzi kama wewe ndio wanaoifanya Africa iongozwe na watu wenye akili za panzi.
precisely ...Nchi yako iko Afrika.....na unawajua wanaoongoza...akili zao umezitaja hapo .....Mpaka hapo haujajiona ulivyo na akili ndogo sana mfano wa punje ya haradali....
 
precisely ...Nchi yako iko Afrika.....na unawajua wanaoongoza...akili zao umezitaja hapo .....Mpaka hapo haujajiona ulivyo na akili ndogo sana mfano wa punje ya haradali....
We mwenzangu unaishi bara gani?. Akili zangu ni nyingi kuliko wewe unayeshabikia ujinga kila kukicha.
 
Ni hivi hilo eneo lilimilikiwa na watu binafsi,ila halmashauri ikawapa eneo mbadala ili kuwafidia...sasa jamaa kabla ya kubomoa Nasary kafanya mchongo ili kuhadaa ionekane kakomboa eneo kupata kiki.

Nafikiri Kama halmashauri imeweza kujadiliana Na mmiliki Hadi akakubali kuhama bila vurugu Ni jambo la sifa.

Suala la viongozi wa halmashauri kwenda kubomoa inaweza kuwa Sawa Na sherehe ya ufunguzi wa jengo au barabara
 
Back
Top Bottom