Recent content by Mr Lover

  1. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Kwa matumizi ya Whatsapp tu

    Sawa umesikika. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. Mr Lover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke ukishamtumia kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena

    Inategemea si wote ndugu nafikir hujafanya uchunguz wa kina, rudia tafiti yako. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. Mr Lover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    Pole sana mdogo wng ila jambo lililo zuri na bisara jitahidi umeeleze kuhusu tabia yeke kuwa uhifurahii pia nakusii zungumza naye taratibu (inaonyesha hajuwi dhamani yako huyo) Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Mch. Gwajima ahoji uwepo wa msikiti katika public airport

    Anatafuta Kik aonekana machonyi mwa watu Hayawani tu huyo. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

    Mimi pia niliwai sumbuliwa sana na uwo ugonjwa na nilikula dawa mbali mbali za asili ila mwisho wa siku nilipigwa nyembe na sasa namshukuru M/mungu nipo sawa sina athali ya barid wala joto. Sent from my BlackBerry 978 using JamiiForums
  6. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

    Hakika yeye mbele sis nyuma Allah ampe mapumziko mema inslh. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  7. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Wachangia mada jitahidi kuangalia point ya mtoa mada, mimi binafsi naungana na Warioba ila Rizi hakustaili kutoa lugha yenye maneno ya karaha. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mtarajiwa!

    Tujifunze kuheshimu mawazo na hisia za watu, na ninyi mnao hitaji wachumba/ mume muwe na sreious kuna watu hawana masihara wamechoka huishi bachela mwisho muwe mnaweka # zenu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya Kikwete na hawa mwenye akili, mzalendo wa kweli

    Unapowaza sana akili na fikira za JK waweza sema mengi ukakosa majibu kimsingi jamaa nw hatufai na hana niamzur ya kizazi chetu kujacho. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. Mr Lover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wameadhibiwa na dunia...

    Tatizo njia Kuu 4len watu wanaona bora mchepuko. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  11. Mr Lover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tutafakari:..........furaha, na namna ya kuipata....

    Shukuran sana hakika nawe nakutakia mwaka mpya mpya inshlh.
  12. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Utoko hupanua uke

    Du! Hilo jina la Utoko nilisikia miaka mingi sanaaa. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. Mr Lover

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    Njoo karibu yng Vick. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. Mr Lover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mmama anahatarisha ndoa yangu

    Pole sana sasa wahitaji tukushauri coz yeye anakupenda na ww unampenda ila unaogopa ndoa yako kuteteleka so lipi usaidiwe? Kama vp mpe namba yangu mm sjaoa. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. Mr Lover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

    Tamaa inatunga mimba hiyo itazaa maovu yatakayo kuingiza motoni ndugu hacha mawazo mgando. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom