- Thread starter
- #41
nipo seriousJe upo serious?
nipo seriousJe upo serious?
Mnaoibagua dini ya uislamu hamtaolewa kamwe!!
Nonsense
Mimi ni msichana naamini mme anapatikana sehemu yoyote. Natafuta mme awe mkristo mwenye miaka 29-33. Naomba ani PM.
CjampataDu nilidhani bado haujapata tena ungenifaa
Cjampata
kaa kimya kama hna wazo la maanaunamaanisha kwamba huko ulipo watu awavutiwi na wewe(watu awajakuona) au unachagua sana sasa umeona umebaki peke yako ehee...ulizani wanaume kama nyanya ukifika muda utaenda kununua.
waambie naona wanakurupuka 2 kuandika mara no mara email.Jamani acheni kubandika namba zenu kwenye mitandao kama hamna akili nzuri.
poa big brother the chaseunamaanisha kwamba huko ulipo watu awavutiwi na wewe(watu awajakuona) au unachagua sana sasa umeona umebaki peke yako ehee...ulizani wanaume kama nyanya ukifika muda utaenda kununua.
waambie naona wanakurupuka 2 kuandika mara no mara email.