Tutafakari:..........furaha, na namna ya kuipata....

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Wanajamvi,
Kuelekea mwishoni kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta; FURAHA.

Je umeipata au umeikaribia?
Ilidumu kwa muda gani?
Ni muda gani in % umekuwa na furaha?

Ulifanya nini ili kuipata hiyo furaha?
Ulimkanyaga mtu kichwani ili uipate hiyo furaha?
Nini kilichokuondolea au kukupunguzia furaha?

Twenty forteen, utafanya nini ili upate furaha zaidi au furaha idumu zaidi.

Nawatakia mwaka mpya 2014 wenye furaha zaidi na itakayolast longer.
Loads of love
Kaunga
 
UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Wanajamvi,
Kuelekea mwishini kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta FURAHA.

Je umeipata au umeikaribia?
Ilidumu kwa muda gani?
Ni muda gani in % umekuwa na furaha?

Ulifanya nini ili kuipata hiyo furaha?
Ulimkanyaga mtu kichwani ili uipate hiyo furaha?
Nini kilichokuondolea au kukupunguzia furaha?

Twenty forteen, utafanya nini ili upate furaha zaidi au furaha idumu zaidi.

Nawatakia mwaka mpya 2014 wenye furaha zaidi na itakayolast longer.
Loads of love
Kaunga

Furaha kwa neema yake mola. Binadamu wanazingua sana. Ubinafsi imeipiku ubinadamu na utu wake!
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Furaha kwa neema yake mola. Binadamu wanazingua sana. Ubinafsi imeipiku ubinadamu na utu wake!

Indeed, kila kilicho chema ni kwa Neema ya Mwenyezi Mungu.
Vipi mwa huu ulikuwa kind kwako na wewe hukuwa sababu ya kuwakosesha wengine furaha?
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
nimejitahidi kujipa furaha mwenyewe ila kuna wakati ili nibidi niwe mbinafsi ili kupata kile nachokitaka...... ila 2014 nikipata hela nyingi nahisi furaha yangu itatimia

Miss chagga, ukiwekewa box 2 moja ina $ bil 1 na box lingine lina furaha, utachagua lipi?
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Shukuran sana hakika nawe nakutakia mwaka mpya mpya inshlh.

Asante Mr. Lover.
Btw Did you get enough love this year? Na did you show enough love? Ipi inakupa furaha zaidi, kuwa receipient au giver of love?
 
mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
834
500
Duniani humu Hamna furaha ya kweli but through worship & praise our God as well as meditation His words we get out of sorrow & pain which we experience in our daily life.

Refer one song. (Haym) It is Well
 
UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Indeed, kila kilicho chema ni kwa Neema ya Mwenyezi Mungu.
Vipi mwa huu ulikuwa kind kwako na wewe hukuwa sababu ya kuwakosesha wengine furaha?

Sometimes naona kama sijui ninachokitaka hapa duniani. Anyway nalisongesha kwa sana tu na vijifuraha vyangu vya hapa na pale sio haba. Naamini neema ya Mola itaendelea kuwa nami zaidi mwaka 2014 na miaka inayofuata
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,139
2,000
This year was much better than 2012........2012 was a HORRIBLE year for me

furaha yangu iliongezeka mara mbili BUT that was when I start LOVING myself
and stop expecting someone to love me and make me complete.
namshukuru Mungu sana
naomba furaha yangu idumu

HAPPY NEW YEAR
 
atug

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,229
2,000
Huu mwaka 2013 kwangu ilikuwa 50/50. 2014 Mungu kwa uwezo wake namwomba anipe furaha na amani na uwezo zaid. Furaha naipata kwa kufurahisha zaid roho yangu,ukitaka kumfurahisha kila mwanadamu utaishia kuumia na ni vigumu. Tuwe na mwaka wa mafanikio na mibaraka tele 2014 kwa wanajf woote.
 
UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
nimejitahidi kujipa furaha mwenyewe ila kuna wakati ili nibidi niwe mbinafsi ili kupata kile nachokitaka...... ila 2014 nikipata hela nyingi nahisi furaha yangu itatimia
=====you are not correct, Sorry to say that. Shida yako wala sio pesa kama unavyofikiri. Shida ni people around your heart and brain nothing else. So unlucky that its so difficult to get them off your heart and brain, but its possible.

Miss chagga, ukiwekewa box 2 moja ina $ bil 1 na box lingine lina furaha, utachagua lipi?
======shida yake sio hela. Ajitafakari vema!
 
Yusuph Issa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
528
0
kiukweli mwaka 2012 kwangu mimi haukuwa poa baada ya mpenzi wangu kunicheat but mwaka huu nimemwendea SUMBAWANGA aliyekuwa anampa kiburi na mambo yote yanaenda poa!
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
This year was much better than 2012........2012 was a HORRIBLE year for me

furaha yangu iliongezeka mara mbili BUT that was when I start LOVING myself
and stop expecting someone to love me and make me complete.
namshukuru Mungu sana
naomba furaha yangu idumu

HAPPY NEW YEAR

Hongera sana kwa kweli, naamini 2014 itaongezeka zaidi as unazidi kujidiscover na kujua nini wahitaji katika maisha.

Heri amtegemea Mungu kuliko binadamu maana hataaibishwa.

Tusaidie basi wenzako, how do you love yourself? At least tip moja au mbili. Ili 2014 nasi tuongeze furaha.
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Huu mwaka 2013 kwangu ilikuwa 50/50. 2014 Mungu kwa uwezo wake namwomba anipe furaha na amani na uwezo zaid. Furaha naipata kwa kufurahisha zaid roho yangu,ukitaka kumfurahisha kila mwanadamu utaishia kuumia na ni vigumu. Tuwe na mwaka wa mafanikio na mibaraka tele 2014 kwa wanajf woote.

Amina.
Swali dogo, Roho yako unaifurahishaje? Mfano ninahitaji pesa zaidi, nikimchongea colleague kazini ili mimi nipande cheo na mwisho kupata pesa zaidi nitakuwa nimeifurahisha roho yangu? Na hiyo furaha itadumu, ilhali mwenzangu kafukuzwa kazi watoto wake wanalala na njaa.
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,338
2,000
Furaha ninayo

Nimeipata bila kumkanyaga mtu

Ila kuna jambo moja nikilipata litaniongezea Furaha, ila lipo nje ya uwezo wangu. MUNGU pekee anaweza kulifanikisha.......
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
kiukweli mwaka 2012 kwangu mimi haukuwa poa baada ya mpenzi wangu kunicheat but mwaka huu nimemwendea SUMBAWANGA aliyekuwa anampa kiburi na mambo yote yanaenda poa!

Kufanikiwa kulipa kisasi au kumuona adui yako akiporomoka kumekupa furaha; naamini italast as long as yuko down. Vipi siku Mungu akimuinua? Source ya furaha yako si itatoweka?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom