Mch. Gwajima ahoji uwepo wa msikiti katika public airport

Mch. Gwajima ahoji uwepo wa msikiti katika public airport

Status
Not open for further replies.

davidm

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
393
Reaction score
129
Video mbili za jumapili ya tarehe 22/06/2014; zikimnukuu mch. Gwajima akihoji uwepo wa msikiti katika public airport!!

video 1

[video=youtube_share;jr0yQ1wtxNA]http://youtu.be/jr0yQ1wtxNA[/video]


video 2

[video=youtube_share;1dPTMo0lS8E]http://youtu.be/1dPTMo0lS8E[/video]
 
Huyu nae ujasiria dini umemshinda mbona asihoji yeye kumpangishia mke wa mtu guest wakati ana kwake?mbona asijihoji kutumia kiwanda cha tanganyika packers kuhubiri badala ya kujenga kanisa lake?muhuni ni muhuni tuu.Ma hospital kama muhimbili vyuo vikuu vina sehemu za kuabudia.Ana laana huyu.Kaulizwa na mzee wa upako wale juu ya wale misukule hajajibu mpaka sasa
 
anataka kupoteza kashfa zinazomkabili kwa kuanzisha mada mpya?
Kuna ajabu gani misikiti/kanisa kuwepo mahali hapo?
Mbona hospital, shule na vyuo vingi vya public NYUMBA za ibada zipo?

MCHAFU NI MCHAFU TU, HASAFISHIKI HATA AFANYAJE
 
MISUKULE bado inamwandama
WAKE ZA WATU ndo kazoea...nadhani baada yakuona dili lake linafeli nakuona kunauwezekano wawili wale wakarudiana anakuja na ligi ambayo haiwezi kamwe....GWAJIMA ulitaka yawepo madanguro pale ili uendeleze uzinzi wako
 
Video mbili za jumapili ya tarehe 22/06/2014; zikimnukuu mch. Gwajima akihoji uwepo wa msikiti katika public airport!!

video 1

[video=youtube_share;jr0yQ1wtxNA]http://youtu.be/jr0yQ1wtxNA[/video]


video 2

[video=youtube_share;1dPTMo0lS8E]http://youtu.be/1dPTMo0lS8E[/video]

Hizi akili au matope?Anahoji uwepo wa msikiti badala ya kuhoji uwepo wa F.mbasha hotelini?
 
Maajabu ya dunia kiongozi wa DINI anapohoji uwepo wa sehemu ya Ibada. Mi kwa uelewa wangu mdogo nilidhani viongozi wa dini wanafagilia uwepo wa nyumba za ibada popote pale inapowezekana ili watu wengi zaidi waweze kuabudu na kumtukuza Mwenyezi Mungu...

Huyu Anko Kidevu wa mtoto wa Flora Mbasha ana mambo kweli, sijui ameipata barua ya wazi ya Emma Mbasha?
 
Video mbili za jumapili ya tarehe 22/06/2014; zikimnukuu mch. Gwajima akihoji uwepo wa msikiti katika public airport!!

video 1

[video=youtube_share;jr0yQ1wtxNA]http://youtu.be/jr0yQ1wtxNA[/video]


video 2

[video=youtube_share;1dPTMo0lS8E]http://youtu.be/1dPTMo0lS8E[/video]

Mbona unataka kumdhalilisha gwajima
 
angejihoji kwa nini amempangia hoteli mke wa mtu kwanza. Wakati nipo sekondari-ya serikali,tulikua tunatumia darasa moja kila siku kusalia. Wakati nipo chuo-cha serikali,tulikua tukitumia chumba kimoja cha darasa kila jioni/usiku kusalia. Cha ajabu ni nini kwa airport ya serikali pia? By the way,yeye alishaenda akaomba sehemu ya kuabudia pale airport akanyimwa?
 
Wahubiri wengine sijui mtaacha lini propaganda kama wanasiasa...

Wewe peleka watu kwa Yesu Kristo na huo ndio wito na wajibu ulioitiwa...

Habari za misikiti sijui zinakuwashia nini??
 
Anatafuta Kik aonekana machonyi mwa watu Hayawani tu huyo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hajatulia hakuna airport ambayo hakuna sehemu ya kuswalia hadi israel vipo.asipotoshe mada na kuchonganisha waislam na wakristo.cha umuhimu aache uzinifu huyu mchongaji.
 
Video mbili za jumapili ya tarehe 22/06/2014; zikimnukuu mch. Gwajima akihoji uwepo wa msikiti katika public airport!!

video 1

[video=youtube_share;jr0yQ1wtxNA]http://youtu.be/jr0yQ1wtxNA[/video]


video 2

[video=youtube_share;1dPTMo0lS8E]http://youtu.be/1dPTMo0lS8E[/video]

Kwanza tunataka kujua uhalali kukusanya saadaka huyu mzee analiwa tigo kwani hii nchi yake nani kampa mamlaka ya kuhoji?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom