Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,029
- 134,274
RIP Kanjunju
Mungu analijua jina la Kanjunju?
RIP Kanjunju
mungu amlaze mahala pema peponi. amenInalillah wainna ilaih rajiun,
napenda kutoa taarifa hii rasmi kwa wana jf wote na mods kwa ujumla kuwa tumeondokewa na mwanachama mwenzetu ambaye alijiunga na jukwaaa hili tangu octoba 2010.
Alikuwa anatumia id ya kanjunju. Hivyo tunaomba tumwombee. Alifariki dunia katika hospitali ya mkoa ruvuma wiki iliyopita.
Rip kanjunju.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa ndugu wa karibu sana.
Mods tunaomba katika listi yenu mumweke inactive.
Ulichokisema ndio kilichotokea. Ni kweli kabisa na hata wazazi wa mwanaume kwanza hawakuhudhuria siku ya ndoa yao. Na hata alipofariki wazazi wake walikuja siku ya pili baada ya kuzika. Historia ya ndoa yao ni kuwa imedumu miezi minne tu kamili na kufariki dunia. Huenda baada ya maelezo haya wengi mtamjua.nimesoma post yake mungu alionesha kifo chake zamaaaani. alikuwa na mchumba katika hatua za kufunga ndoa mamamzazi wa mwanaume akawa anapinga akidai kuwa kila akimuomba mungu kwaajili ya suala hilo aliona Giza! pia mama huyo alisema kuwa kama wataoana miaka mitatu ijayo ndoa yao itakuwa imevunjika. RIP kanjunju dada etu mungu alionesha