Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
hii point uneshaisema mara nyingi, 'kuoana ndio muoane', sijui kama unaeleweka.
Lakini ndoa bila wenza 'kuoana' ni majanga.
Lakini ndoa bila wenza 'kuoana' ni majanga.
Tatizo hapo ni kuwa umeolewa. Ingekuwa mmeoana kusingetokea tatizo kama hilo.
Tatizo lingine, ni pale mume anapokuwa mwizi akiwa kazini, akiachishwa kazi maisha yanakuwa magumu X 3.
Ukiona mwanamme mvivu namna hiyo ujuwe ni mvivu kazini pia na mvivu bedroom. Kwa situation kama hiyo usitegemee kama kuna ufumbuzi wowote utapatikana, hicho ndio kichocheo kikubwa cha wewe kutembea nje ya ndoa kama bado hujaanza mpaka leo.