halo! Kweli ww umedoda inamaana umewakosa mtaani kwenu, classmate, hata kanisan unakosali hamuna duuu! Hata wa kusakiziwa na rafiki zako hamuna lol! Hata mm naogopa kuingia pm najua ntaingia chakike tu. Kwaheriiii eeeee
Wasalimie uendako!
Wewe una sifa za kuwa mke wa mtu?unasifa tajwa hapo juu?
Mwenye sifa tajwa,atakaponiPM nitamwambia umri wangu!
haya asante! Naww nakutakia utafutaji mwema wa wagegedaji na sio waoaji, kwasababu ninaamini kabisa utakuwa tatzo kwenye ndoa
mimi nipendezwa sana ila napenda kugegeda. kama hatojali pmUsiishi kwa kukariri maisha hayana fomula,sio kila mchumba anapatikana church/chuo/mtaani/kwenye bus/ n.k Pia sio kila mtu anagegedeka kirahisi!
Usiishi kwa kukariri maisha hayana fomula,sio kila mchumba anapatikana church/chuo/mtaani/kwenye bus/ n.k Pia sio kila mtu anagegedeka kirahisi!
Na mimi mkuu, sijasoma lakini nimewaajiri graduates kibao, hivyo vigezo vyao nadhani inabidi wavipitie upya.Ubaguzi huu jamani,kwa hiyo mimi std 7,sipati chance kabisa,mpaka wa kutoka chuo,so unampenda wa chuo kwa kuamini ana maarifa,lakini tupo sisi wengine hicho chuo hatukijui ila tuko smart upstairs,as its known intelligence is nothing to do with education,so nipe nafasi ndugu.....
Sigegedeki kirahisi, that is why nahitaji mume mtarajiwa na sio mgegedaji!