Tafadhari sana heshima kwa viongozi wetu wa kanisa ichukue mkondo wake. Acha uongo wewe sio mkatoliki wakotoliki atuna desturi ya kuwadhalilisha viongozi wetu kwenye mitandao na kama kweli wewe ni mkatoliki auelewi dogma za kanisa katoliki---wakatoliki tunaheshimu mamlaka zilizowekwa na Mungu...
Jamani kila analofanya rais mnapinga tu lol! Hata angeteua malaika mgesema tu jamani mpeni muda rais afanye kazi bwana! ili Tanzania isonge mbele atuhitaji kuchanganya siasa na uwajibikaji na hii tabia ya "ku-politicize"kila kitu ndio imeifikisha nchi hapa kwasasa tunahitaji rais mtendaji sio...
Huyu jamaa kuweni nae makini maana si mtaalamu mzuri wa rangi anapiga picha na kujifanya ni kazi zake maana kuna jengo aliliweka hapo wakati kazi ilikua ya fundi mwingine
Mpe rais wetu heshima yake bwana mambo ya kumuita rais wetu kilaza sio heshima. Big up JK watu watakukumbuka sana ukitoka madarakani. Go go JK gooo............
Jitahidi uwe mzuri kwenye sita kwa sita la sivyo, viserengeti kama vitatu hivi vitakusaidia kazi. Mabinti wa kinyiramba wanajua kupenda haswa endapo unajua mambo yetu. kama mvivu kwenye sita kwa sita hesabu maumivu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.