Vinega wawaogopa Clouds Fm!!clouds Inatisha yoo!!

We ni mwehu tu.hata LWP,Afande na Babu walishasahaulika na wafu fm lakini kwa kishindo cha vinega wafu ikabidi iwakumbuke hili waonekane sio wabaguzi. Vinega imewapa hao masnitch wako somo.
 
Tunatupia tu kwenye nyavu zao..wataokota wao. Kesho tripple A vinega wamepanda ndege kwenda A town kwenda kuwascan na kuwadelete mash.oga wote km wewe yoo yoo.
 
wangekuwa wanawaogopa clouds wasingefanya uzinduzi wa album dar
 
Big up Sugu na Vinega wote kwa harakati hizi kwani tayari matunda yake twayaona.cloudz wasanii waliowaona hawafai leo hii wanawapandisha jukwaani.kelele za hawa misukule hazikuanza leo, hata yule nyama ya kusaga anaonekana f*la
 
Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya wiki hii,vinega hawa baada ya kufunikwa dar,wakaona mmmhhh bora wakimbilie Arusha..chek show zao zenyewe wanavyojikongoja tangu wafanye dar 26/11 wanapga A.town 18/12 sasa hadi kumaliza Tz nzma si itawachukua karne nzma?kwa nn wacwe kama fiesta au epiq nation?kila week show? sa sijui watawakimbia mpaka lini?yoo!!

Umenisikitisha sana user id yako haifanani na utumbo uliouandika.
Zaidi ulichofanya ww kuleta ushabiki, ukweli ni kwamba baada ya show ya vinega pale ustawi wa jamii clouds pamoja na kumleta msanii mkali wa mtoni show ilionekana famba na haikufanya vema kama clouds ilivozoeleka. Khs kufanya show kila wiki ni utaratibu wa ratiba yao kama ambavyo epiq na nbongo 50 iliyo na ratiba!

Acha ushabiki vinega kwa speed na status yao wanaelekea kuiharibu kbs status nzr waliyokuwa nayo clouds kabla!
 
Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya wiki hii,vinega hawa baada ya kufunikwa dar,wakaona mmmhhh bora wakimbilie Arusha..chek show zao zenyewe wanavyojikongoja tangu wafanye dar 26/11 wanapga A.town 18/12 sasa hadi kumaliza Tz nzma si itawachukua karne nzma?kwa nn wacwe kama fiesta au epiq nation?kila week show? sa sijui watawakimbia mpaka lini?yoo!!
We ndio moja ya wale mnaovaa nguo za kike!
 
tuu tuu twee,kijamaika zaidi
 
Sugu huwezi kupambana Clouds hata siku moja na hizo Virus zako!
 
Back
Top Bottom