Recent content by Mpigaji

  1. M

    Tanga ilistahili kuitwa jiji

    Wadau naomba mnijuze hivi ni vigezo gani hutumika kuipa hadhi halmashauri ya manispaa kuwa jiji.Naomba kuwasilisha
  2. M

    BCom ya UDOM mashaka matupu - Department Haina Majibu

    Mitihani imejaa clues tupu!wahadhiri bado wachanga sana!kina profesa osa-ki wawekeni vijana sawa!
  3. M

    Makalio yananitega!

    Mwanamke awe na nyama amejazia!sio mifupa mitupu!
  4. M

    Matokeo mitihani ualimu yarekebishwe

    Naomba wizara ya MASHULE irekebishe matokeo ya mitihani ili ufaulu uongezeke tupate waalimu MAHIRI ktk MASHULE!!!
  5. M

    unique characteristics of udom. THE BEST PLACE TO BE

    Chuo gani lecture theatre hakuna jenereta?umeme ukatikapo lecture za saa 12-2 inakuwaje?kama sekondari ya kata tu!
  6. M

    Utra modern university:mwalimu afundisha kwa kutumia mwanga wa simu!

    Imetokea ktk chuo hiki kiitwacho utra modern!Hakuna jenereta ktk lecture room,umeme ulipokatika simu zikamulika!!
  7. M

    Accommodation Post Graduate Udom

    Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze,
  8. M

    Msaada tafadhali

    Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.
  9. M

    Msaada tafadhali

    Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.
  10. M

    Msaada tafadhali

    Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.
  11. M

    Website udsm kulikoni?

    Wadau hebutembeleeni muone
  12. M

    SENSA: malipo ya siku saba za nyongeza.

    hakuna malipo kwa siku zilizoongezwa.
  13. M

    Jiulize swali hili kwa umakini!!

    Hivi umewahi kujiuliza kwamba kwa nini tunaoa na kuolewa?Kama umeoa,kitu gani kilikupa msukumo huo?Kama umeolewa,kwa nini?Umeolewa au kuoa kwa sababu ya mazoea au unapaswa kufanya hivyo?Au ni kwa sababu nyingine??
Back
Top Bottom