SENSA: malipo ya siku saba za nyongeza.

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
wana JF,
kuna mwenye fununu juu ya malipo ya makarani na wasimamizi wa sensa kwa siku saba za nyongeza?

na ni kias gani
 
nani awalipe? serikali ya CCM? labda mtalipwa na waislam waliogomea sensa, halafu hap hao wakaongeza siku za kuhesabiwa. wakakmatwa watu halafu waislam hao hao wakawaachia huru wavunja sheria halali za nchi.
 
kwani we karani wa sensa au mwenyekiti wa kijiji/mtaa?? wananchi ambao hawakuhesabiwa wanatakiwa waende wenyewe kwa viongozi wao wa vijiji / mtaa wakahesabiwe, mbona mnajivisha majukumu yasiyowahusu?? huo nao ni ufisadi..
 
Watawafuata wenyewe maofisini mwenu sasa hapo kuna posho gani tena?ulie tu kama zile za mwanzo hazikukutoa ujue ndio kwinshne
 
wana JF,
kuna mwenye fununu juu ya malipo ya makarani na wasimamizi wa sensa kwa siku saba za nyongeza?

na ni kias gani

M2 wang ridhika bac kuna wenzako wamekosa hata hiyo halaf suala la kuongezew pesa hilo halipo kwani hiyo ni kama accident.
 
nani awalipe? serikali ya CCM? labda mtalipwa na waislam waliogomea sensa, halafu hap hao wakaongeza siku za kuhesabiwa. wakakmatwa watu halafu waislam hao hao wakawaachia huru wavunja sheria halali za nchi.

Una chuki binafsi.
 
mkuu inaonekana baada ya sensa hauna jipya yaani ukusikia vizuri wanasema watu waende peleka taarifa kwa viongozi wao wa mitaa we bado ukaingia mtaani kweli unaipenda nchi yetu watu wakujitolea kama we ndo wanahitajika saaafi
 
Una chuki binafsi.

chuki gani mkuu? iko hivi, waislam walitangaza kugomea sensa tangu awali wakidai kipengele cha udini kiwekwe. serikali haikuweka kipengele hicho, sensa imeanza. inamalizika, waislam baadhi wakaamua kuhesabiwa, na wengine walikuwa wamewekwa ndani kwa kugomea sensa, serikali ikaona iongeze siku saba. walitoa tangazo kwenye vyombo vya habari bila na hawakuwahi kukaa meza moja na wahesabuji kukubaliana kuongeza siku.

sasa katika mazingira haya, watalipwa? nani awalipe? kwa makubalianao yapi?
 
for sure i had no idear abt it...sasa ngoja na mm nilifuatilie hili swala...maana nahisi kuna nyongeza ya hiz siku 7,,,maana sidhan kama kuna nyongeza ya siku bila mshiko...
 
hizo cku zilizoongezwa ilikuwa ni kwa wale waviv ambao hawakimaliza kazi zao ndan ya cku saba za mwanzo ,ila mi kuna dogo wangu alikamilisha hilo zoez ndan ya 7dayz za mwanzo na akawa amekabidh nae adai posho nyingine?
 
ninachojua ni kuwa WASIMAMIZI wamedharauliwa kwani kuna baadhi wamelipwa na wengine NO, UKIULIZA kwanini HAWAJALIPWA, JIBU linalotoka kwa kweli linahuzunisha eti utaratibu ndiyo huo uliopangwa kutoka DSM. Yaani umefanyishwa kazi na kutumia raslimali zako na kusafiri zaidi ya 400km kuzunguka SA, Halafu eti afisa ambaye yuko DSM, tena asiyejua hata mazingira ya kazi, anasema hao hawastahili, kwa kweli hili linasikitisha sana. SIELEWI KWANINI WATZ HASA VIONGOZI WAANDAMIZI WANAFANYA HIVI

Yaani mtu yuko DSM anapanga utaratibu wa malipo kwa watu walio ktk mabonde kuinama. NA anapanga eti wengine wasimamizi hawatalipwa as if wao hawakufanya kazi za usimamizi.

NBS liangalieni hili kwa jicho la aina yake, LIANGALIENI HILI, NI VIZURI MKIWALIPA STAHILI ZAO, TUKUMBUKE KUWA SISI SOTE NI WATZ, HAKUNA HAJA YA KUDHARAURIANA KTK KAZI NA UBAGUZI KTK MALIPO SI JAMBO JEMA HATA KIDOGO. HUU NI UKWELI HALISI HUKU FIELD SIO MAJUNGU
 
Back
Top Bottom