Jiulize swali hili kwa umakini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiulize swali hili kwa umakini!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mpigaji, Sep 7, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi umewahi kujiuliza kwamba kwa nini tunaoa na kuolewa?Kama umeoa,kitu gani kilikupa msukumo huo?Kama umeolewa,kwa nini?Umeolewa au kuoa kwa sababu ya mazoea au unapaswa kufanya hivyo?Au ni kwa sababu nyingine??
   
 2. peri

  peri JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mi nadhani lengo la ndoa ni kutimiza matamanio ya kimwili, kuendeleza kizazi/jamii,
  kumpata mwenza mtakae saidiana maishani, kujistiri na uchafu wa uzinzi, kutii amri ya muumba nk.
   
 3. T

  Tukopampja Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii ni natural instinct ambayo kila kinachoaminika ni kiumbe hai,kina kuwa na tendency au kiko oriented to MULTIPY(Binary)...Ndiyo maana hata wanyama kama mbwa,kuku,ng'ombe n.k huwa wanakipindi chao sio mara zote.Bali kile kipindi kifikapo,basi mnyama jike anatoa harufu ya kuwaashiria MAJIBABA kuwa sasa ni muda wa KUMULTLY.Kwetu sisi binadamu,kama uaminivyo ,Mungu alitupa akili na utashi ili tuamue jema na baya.Kwa wale wa Kristo, na hasa wakatoliki wanajifunza kuwa...Kuona au marriage inaenda na vitu vifuatavyo...KUTAMANIANA katika hali ya kukamilisha-COMPANIONSHIP),na KUSAIDIANA KULEA maana katika kutamaniana ndipo tunazaa,ila kuzaa siyo lengo halisi ya ndoa.Kikibwa ni companionship,maana mwaweza kuoana msipate watoto,na kanisa halivunji ndoa hiyo labda UASI halafu uitwe jina jipya na waumini wa Kanisa MZINZI...!
   
 4. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya,!
   
 5. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Naiunga hoja hii 100%
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  the sole purpose of marriage is intimacy
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mmmnnnhh
  Hapa labda ufanye research ya kiakademiki kabisa
   
 8. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  marriage is an intrinsic motivation,its built in u,unapooa au kuolewa kuna uridhikaji flani unaupata,japo side effects za kisaikolojia hazikosekani......kwenye needs za binadamu ziko categorised into 5.na zote nitaelezea ndoa inahusikaje
  1.physiologycal needs-ni kama njaa,kiu,usingizi na kadhalika,hapa ndoa inasaidia sana,kwani mnaweza kusaidiana kutafuta chakula,kulala pamoja na kadhalika.
  2.safety needs-hapa ni all sorts of security,pamoja na afya,ukiwa na mwenzi wako,its very likely kwamba mtajaliana,hivyo kuna umuhimu wa kulindana...."kama unampenda,utamlinda"
  3.belongingness-unahitaji kupendwa na urafiki,kuwa social
  4.self esteem needs,recognition-kuwa kwenye ndoa kuna hadhi yake ya kipekee
  5.self actualisation-ukiwa na mke/mme inakusaidia kujitambua,kwani mwenzi wako atakukosoa katika mambo fulani na utaweza kujitambua kwamba wewe ni mtu wa aina gani  intrinsic pia ina vitu 13 ndani yake ambayo hasaa,ndo inasababisha tuonane nazo nitaziorodhesha hapa bila ya kuzielezea kwani zinaeleweka.
  1.acceptance.
  2.curiosity
  3.eating
  4.family
  5.honor
  6.idealism
  7.independence
  8.order
  9.physical activity
  10.power
  11.romance
  12.saving
  13.social contact

  bila shaka sasa unajua kipi kinasukuma watu waoane....hizo nilizoandika ni psychological facts
   
 9. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,189
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni sawa na kumwambia mtu jiulize kwanini, unakula? na kwanini unaenda haja? au unamwuliza mtu kwanini ulizaliwa baadae ukaanza kuzungumza, kutembea n.k
  tumeumbwa hivyo, neglects mechanisms behing each biological action
   
 10. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,189
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  Baaaaaaaaaaaasi! umemaliza   
Loading...