Msaada tafadhali

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom