Siri nzito yavuja wizara ya elimu

HOSEA EMANUEL

Member
May 30, 2013
7
0
baada ya matokeo mabaya ya la saba,kidato cha 4,6,grade ,Diploma hatimaye serikali kutangaza mshahara mpya wa takhome 700000 utakaoanza mwezi August,limesemwa kupitia wizara ya elimu ili kuepushe ufelit usio wa lazima na kusuru taifa
 
baada ya matokeo mabaya ya la saba,kidato cha 4,6,grade ,diploma hatimaye serikali kutangaza mshahara mpya wa takhome 700000 utakaoanza mwezi august,limesemwa kupitia wizara ya elimu ili kuepushe ufelit usio wa lazima na kusuru taifa

naona leo umepiga cha arusha,cha arusha noma
 
Ndo nimegundua kwa nini viroba na bangi vinapigwa vita. up.upu
 
"Kitu cha Arusha" at work. Nilisikia Uruguay wameruhusu hii kitu.
Tutarajie washauri wa aina hii kutoka Uruguay. Hatari!!
 
baada ya matokeo mabaya ya la saba,kidato cha 4,6,grade ,diploma hatimaye serikali kutangaza mshahara mpya wa takhome 700000 utakaoanza mwezi august,limesemwa kupitia wizara ya elimu ili kuepushe ufelit usio wa lazima na kusuru taifa

Ulipata ndoto mchana kisha ukaiandika? unaushahidi wowote kuthibitisha hoja yako??
 
Huyu mpuuzi, walimu wako madaraja tofauti haiwezekani kuwalipa flat rate.
 
Back
Top Bottom