Recent content by Mpiga Miti

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibuni jamani mabingwa wa kuhonga

    Na ww ni miongoni mwao nini?!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Forodhani Sec. School tujuane!

    Mimi nilimaliza mwaka 1998, kwanza namkumbuka aliyekuwa mkuu wa shule wakati huo Mama Busyanya, Mwl Kashato (French), Mwl.Didas allikuwa anafundisha maths na wengine wengi kitambo sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baunsa (Body Builder) wa Calabash Anaongoza kwa Kuomba Kinywaji

    Mama na ww ulishawahi kupigwa mzinga?!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baunsa (Body Builder) wa Calabash Anaongoza kwa Kuomba Kinywaji

    Sio lazima uwape, kama hauko fresh unawapotezea tu!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetembea kimapenzi na dada yangu wa damu, ninaomba ushauri

    Kweli kabisa na huyo dada mtu ataacha kumsumbua, pia mama atatunza hiyo siri ingawa itamuumiza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutegea kulipa bili

    Kuna wengine wana tabia ya kusema, 'nilipie nitakurudishia hela yako baadae' lakini hapo hesabu maumivu hiyo hela hairudi!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mnaokunywa balimi mnajiabisha

    :(:(:(:(:(:(
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hawa wasanii

    Black Rhino!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

    Huwezijua tunaweza kumlaumu sana Msando kumbe huyo wife wake anampa stress mpaka anawatafuta kina gig money wamliwaze, si unajua tens ss wanaume!
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wadada wa kisasa wana midomo michafu sana. Ni ngumu kuishi nao

    Mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini akiwa mwepesi wa kutoa matusi haipendezi kabisa, kuna kauli zingine hazifai kutolewa na mwanamke
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mhe: Bungala(Bwege): Mtoto hapatikani bila maji

    Huyo mbunge ni kawaida yake kutoa maneno yenye utata, hata kwenye vikao vya kujadili maendeleo ya mkoa asipokuwepo siku hiyo kikao kitapooza!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niweze kuangalia Bongo Movies?

    Kaa na mabeki 3 na mabarmaids wakupe uzoefu wao!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Spika mstaafu juzi kawaambia ukweli lakini, waache kufanya kazi kwa nidhamu ya uoga hawamsaidii Mh.Raisi!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

    King Crazy GK, kuna kipindi alijaribu kurudi lakini wapi!
Back
Top Bottom