Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,794
- 50,987
Uzi maalumu kwa tuliosoma Forodhani Sec School, unakumbuka nini? Mnawakumbuka maticha gani? Kitu gani unakimiss? Na ikiwezekana utuambie ulihitimu mwaka gani?
nendeni fesibuku mkajuane....tuko bize na mambo ya maana
mkuu ndumi ...upo?
Mimi nilimaliza mwaka 1998, kwanza namkumbuka aliyekuwa mkuu wa shule wakati huo Mama Busyanya, Mwl Kashato (French), Mwl.Didas allikuwa anafundisha maths na wengine wengi kitambo sana
uko njemaHuyo Didas katumbuliwa Mwaka huu kwa Shule yake kuwa ya Mwisho Mwisho Kitaifa huko Kigamboni, Huyu Jamaa ni Mla gongo hataree na Ana asili ya Rwanda Ila kwny Hesabu ni Mzuri Tatizo Gambe
Kuna Hayati Mr. Lukinga Rafiki yangu wa Faida!
Walimu wengi wa Forodhani nilikuwa nakutana nao Maeneo ya Jojiz pale NMB House jion kuchoma Mapafu kwa Konyagi
Uzi maalumu kwa tuliosoma Forodhani Sec School, unakumbuka nini? Mnawakumbuka maticha gani? Kitu gani unakimiss? Na ikiwezekana utuambie ulihitimu mwaka gani?
madi mazere yupo kivule kitundaMwl Didas alikuwa wa hesabu na mwl Sangawe alikuwa wa kifaransa hiyo ni kwa wale wa lebo ya blue
Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app