Mhe: Bungala(Bwege): Mtoto hapatikani bila maji

swahiba Senior

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,478
3,624
AKICHANGIA LEO BUNGENI KATIKA BAJETI YA WIZARA YA MAJI MH: BWEGE KASEMA;

Mhe. Naibu spika maji ni kila kitu katika maisha ya mwanadamu na huwezi kulala na mke bila Maji na akaenda mbali zaidi na kudai mtoto hawezi kupatikana bila maji na kusisitiza Mh. Naibu spika utampataje mtoto bila maji?

Je! Wewe umemuelewaje huyu mbunge? Kwa kauli yake?
 
Kwani wewe umemwelewaje, hebu tuanzie hapo
 
Aiseee! Ninachowapenda watu wa pwani ni uhuru wao wa kujieleza. Mambo ya tafsiri anabaki nayo mpokea ujumbe. Hahahahaaa!
 
Huyo mbunge ni kawaida yake kutoa maneno yenye utata, hata kwenye vikao vya kujadili maendeleo ya mkoa asipokuwepo siku hiyo kikao kitapooza!
 
Back
Top Bottom