Karibuni jamani mabingwa wa kuhonga

Kuhonga inaweza isiwe shida km umepata mwanamke anayejielewa na bila kupangiwa masharti...mimi ugomvi wangu mkubwa ni mwanamke anayenipangia nimpe hela kwa ratiba au nisipompa ananuna...yan hapo ndo hapati kitu km hataki aende tu kutongoza mi ni master
 
Hela zangu nazipenda sana na nazitunza kama mwanamke anavyo utunza uzuri wake
 
Karibuni wazee wa jaza ujaziwe, wazee wa kuhonga, maneno pesa sauti kelele. Karibuni tuzidi kuboresha huduma zetu kwa hawa watoto wazuri

Sema tunakula hasara, one time Demu ananipigia simu anataka kwenda Mwanza mama yake anaumwa dah ilikuwa Xmass basi nikamtumia vijipesa duh kumbe kanidanganya naona anapost picha yupo beach akila bata dah na bonge la Caption: Ujinga wako ndio mtaji wangu

Khaa sihongi tena labda unikabe
me nikihonga usiku sipati usingizi isee,narusharusha miguu mpaka kokoriko na kuota ndoto za mauzauza
 
Inauma sana...nimekutana na DEMU siku nne kabla ya Mwezi Mtukufu kuanza..Siku mbili kabla Demu kanipiga mzinga KIDUME nikajitutumua nikampa KIASI alichohitaji na ziada juu.

Suku moja kabla ya kuanza MFUNGO nikamwambia "naona kwa sasa hakuna kitakacho fanyika...nashauri swala la PA**CHI itakuwa ni baada ya MFUNGO...

Tulikubaliana vizuri....ajabu mwenzangu uvumilivu umemshinda, nilisikia (na sasa nimeshuhudia) rafiki yangu wa karibu anajilia mzigo ndani ya MFUNGO...

Nimechoka kwa kweli..
mkuu pole, mtumikie mola wako, kwa maana pengne amekuepusha na balaa, you never know be cool and relax.
 
mwanaume lazima uhonge....hii hainaga ubishi..... hata ukimpa soda....ina lengo,,,, unajenga mazingira ya ukaribu........mpaka mfikie malengo...... au teseme kuchunwa.....must
Wewe sasa Ndio definition of msweetbabe...lazima mwanaume uhonge banaaa
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom