Naomba kujuawaliko hawa watu
Yuko wapi bishanga bashaija
Yuko wapi nyamayao
Yuko wapi kibakuri
Yuko wapi kiroboto
Wapi jeby
Wapi joslini
Yuko wapi back rhino
Yuko wapi abdalah husen alikuwa mtangazji radio one
Black Rhino!Back rhino??..hi hi hiiii....may be he is back to ben pol back!