kinachokuuma nnn kunywa bia au kutaman mademu alokua nao. Huo ni ushooga ndg acha kabisaJapo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini
Ebu ionje hiyo balimi ndiyo utajua habari,usiandikie mate ingali wino upo.Hujiulizi tu kwanini hiyo bia imepata washabiki wengi ghafla?By the way bia ni bia tu midamu mnywaji anaridhika nayo.hahahaahah, sio siri, hata mie "mmbeya" wa kujitegemea huwa nikienda viwanja siku hizi nashangaa kuona warembo tena wamejipodoa wanaagiza balimi, hahahahahha. Naungana mtoa post, hata mie huwa ninashangaa. Yale ni mapombe ya kiume, wanawake tunapendeza mezani zionekane bia ambazo asilimia za vileo hazizidi 4.5
heeee kumbeBalimi naipenda maana inatia genye ...
Japo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini
Japo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini
Balimi naipenda maana inatia genye ...
🙁🙁🙁🙁🙁🙁Mtoa post bana....hivi hujui siku hizi wanakunywa hadi CHIBUKU???
Mkuu mbna unawatukana wanafunzi wangu?Nimekuelwa Markomx, na ulichoandika hata mie nimekuwa nikiwashangaa, hata visichana vya SAUT navyo ukienda maeneo ya kule Nyegezi utavikuta vinakunywa Balimi ndogo!!!! tuko pamoja kwa hili mwanzo mwisho wanashangaza sana.