Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Gigi Money anasema alikuwa hamjui Albert Msando wala alikuwa hajawahi kumsikia, aliambiwa kuna mtu anakuhitaji anamiliki club basi akaenda akaspend nae time na walipokuwa garini akarekodi video kutupia kama anavyotupiaga picha za wengine anaotoka nao,kesho yake akaona video imekua gumzo


Yaani huyo demu mpuuz sana tatizo anapenda sana kiki . japo Albert naye kakosea kukubal kurecodiwa vile . mengine ni familia. Na marafik zake kuchukulia na kusamehee tu
 
Zitto, msando, mbowe wanawala malaya sijawahi kuona
Umenikumbusha zito kabwe na ishu ya diva yule mtangazaji wa clouds naye hiv hiv japo ishu yake ilizimwa kwa msaada wa kina ruge ila naye angedhalilishwa

Ogopa sana malaya
 
Hata kama ni staa kiasi gani, Umalaya unafedhehesha na kushusha heshima. I person worth of being a lawyer, also known as an officer to the judiciary, ameikosea sana tasnia yake, familia yake, ndugu zake na Mungu aliyemuweka kwenye kazi hiyo. Hafai
Kwani lawyer sio mtu
 
Kiukweli huyu mdd hua simuelewagi kbs yanikila raia yeye hamtambui.?
Halafu na hawa wanaume zetu jamani sijui nini shida Albert na gigy wapi na wapi.? Dah pole sn msando na familia yake
Kwel kabisa mamy
Gigi Money anasema alikuwa hamjui Albert Msando wala alikuwa hajawahi kumsikia, aliambiwa kuna mtu anakuhitaji anamiliki club basi akaenda akaspend nae time na walipokuwa garini akarekodi video kutupia kama anavyotupiaga picha za wengine anaotoka nao,kesho yake akaona video imekua gumzo

 
Kwa jinsi ninavyomuelewa wakili Msando sidhani kama gigi hajachukua money kwake, jamaa ni shida kwa papuchi, sijui ni ulimbukeni wa ukubwani au nini!!!!!!!!!!! Tunaokwenda the don kila weekend tunamuelewa na tunamuonaga sanaaa.....
HIYO ZE DON IKO MAENEO GANI
 
Wanaume wa mikoani malimbukeni sana....Watu wa Dar es salaam wanamgonga Gigy kimya kimya huku wakiona aibu Watu wasijue ila yule mshamba kajiweka na mitandaoni kabisa Watu wamuone.
 
Halafu gigi mbona simuelew saiz anasema yeye ndiyo aliweka hiyo video wakati mara ya kwanza alikuwa anamlaumu the don kwamba ndiyo kasambaza ile video..au kaweuka huyu bibi.halafu huyu demu anajiuza kwa watu wenye title mjini kama hapo aliambiwa tu kuna mtu anamiliki club ya the don anataka kukuona naye Gigi huyo mbio kwenda kutoa papachu duh.....wanawake wenye akili kama za Gigi Mungu anawaona lakini.
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Anataman kufanya kam wew unavyohs ungefany bt ther is a lot of things behind vinafany akae kimy even still be with him
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom