Rostam aziz, moja ya watu hatari kwa taifa, aliechangia kuyumbisha nchi na serikali, the masterminder of dubious deals crime, forgery and dirty money, anajiandaa kutoroka na mabililion ya watanzania. Wazalendo mko wap? I cant wait!
natamani ningekuwa rais ningeifanya zenj mkoa na hao vimbelembele kama jusa ningewarudisha kwao uaharabuni, hawa ndio wanaotududisha nyuima. Tanahitaji raisi mbabe ndio tuendelee. La sivyo hatutafika mahali. Huyu jussa ni ni mtu hatari na si mzalendo kabisa ni mamluki
mimi naona tuondoe hii system ya kutoa rais ambaye alikuwa yuko nje zaidi tunarudi kulekule ni rahihi kununuliwa na mabepari hii ni inahitaji mtu ambaye ni aggresive, mwanawasa type or kagame ina mambo mazito ya kuondoa mwanamke hataweza kupambana na mijizi sampuli ya rostam na manji.angalao...
nashukuru wadau tukisaidie hiki chama hata kam hakitachukua dola angalao kibwebweke kasi ya ufisadi ipungue maana wakti kiwira na epa zinatokea upinzani ulikuwa umeuliwa na mkapaism. pia tuwasidie kwa namna tutakavyoweza wasiangukie shimo la NCCR YA MREMA NA CUF YA MAALIM.
mwakyende moyo wangu unafarijika kwa sababu sijaona kibayan ulichowafanyia watanzania. nafarijika kwani hata ukitangulia mbele za haki uliyowafanyia watanzania hayatasahaulika. ni wito kwa watanzania wenzangu haki kwa dunia ya leo ni ngumu kuipata na hata ukiipata itakuwa tayari imepotoka...
Mwacheni jk baba wa watu afanye lile analoweza, hii nchi ina matatizo mengi na mengi yalianzia enzi ya mzee ruksa, mrema alipoomba nafasi awashughulikie mkamtosa. Jk sasa amekuta maji yashazidi unga kila faili analoshika haliguski, ndio maana hata wakati mwingine anaamua kutoka nje kupumzika...
nimeguswa naa hyo hoja kuna uonevu wa kupindukia kwa wapinzani ndio maana wanaonekana kama maadui. CCM inakesha ikifikiria namna ya kuua upinzani badala ya kufikiria namna ya kujenga nchi.
Nimekuwa nikifuatilia matamko mbalimbali ya cdm dhidi ya serikali lakini naona wamekuwa too soft kiasi kwamba hata serikali imeshawazoea.Sijui wameogopa baada kutishwa na kesi au ndio uwezo umefika mwisho. Kama chama kikuu CHA UPINZANI na serikali inayosubiri kuingia madarakani si lazima...
Yap mdau siasa hasa kwa nchi zetu changa zina michezo michafu na ya hatari inyofanywa na watu wachache(political mogul) ili kulinda maslahi yao kila mtu anakiwa kuwa makini hasa wanaharakati hao jamaa wana mbinu nyingi wana uwezo wa kutengeneza hata ajali. Dr mungu amlinde tu maana anasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.