Jambo Leo lanunuliwa na Rostam, lahamishiwa New Habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambo Leo lanunuliwa na Rostam, lahamishiwa New Habari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Zak Malang, Jan 19, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  WanaJF;

  Habari za uhakika nilizopata kutoka New Habari ni kwamba Rostam kalinunua gazeti la Jambo Leo kuanzia jana. Utayarishaji wa hilo gazeti unahamia Sinza katika newsroom za New Habari na litakuwa linamilikiwa na kampuni hiyo.

  Nawasiliasha!
   
 2. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzo lilikuwa linamilikiwa na nani na likuwa linatayarishiwa wapi?
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh! Yaleyalee....
   
 4. C

  Capt Maliki PanAfric Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nasikiavyo lilikuwa linaendeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini, na sasa ruzuku hiyo imekatwa ghafla kutokana na serikali kuwa hoi kifedha.
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280
  Wasije kumuuzia mpaka ikulu hawa..
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  lilikuwa haliuzi -- ni hasara tupu. Hivyo limepatiwa 'soft landing' na Rostam.

  Ila kinachonishangaza ni kwamba pale New Habari nako ndiyo tu wameanza kupata nafuu kifedha baada ya kuachana na sera za kutetea ufisadi, sasa mzigo huu tena!

  Wanahabri wote pale New Habari wamepigwa na butwaa!
   
 8. m

  mohermes Senior Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Halafu niliona juzi gazeti moja limeandikwa JAMHURI likiwa linafanana fanana na Mtanzania kwa sura niulize ndo Rostam kaamua kulibadili gazeti lake ili liwe na mvuto au ni gazeti jingine?Kwa walioliona tafadhali nijuuzeni
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280
  kwani ENL na RA wana tofauti?
   
 10. mjomba wa kale

  mjomba wa kale JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hata akinunua magazeti yote hasafishiki mbele ya macho ya waTZ!
   
 11. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shida nini,si mngenunua nyinyi kama hamkutaka Rostam anunue?Wenzenu wanafanya biashara nyinyi mnafuatilia umbeya!
   
 12. p

  phinny Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anazidi kuwanunua,
   
 13. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Waiuze mara ngapi Mkuu?
   
 14. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hongera Rostam kwa kununua Mzigo!
   
 15. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,511
  Likes Received: 2,752
  Trophy Points: 280
  Mikakati ya 2015. Eti Malaria Sugu anajifanya hajui hilo??
   
 16. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 17. i

  ivy blue carter Senior Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na ww unapinga kama nani?? ovyoo, mtetezi wake au??
  ni ilo ilo liri1 ndio na hao wahujumu uchumi wenzake ndio na moto utawawakia nakwambia.
   
 18. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Acha maneno ya kwenye kahawa, rostam hajanunua gazeti, gazeti limenunuliwa na kampuni ya new habari na si vinginevyo1
   
 19. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  Khe! New habari
   
 20. m

  mpendadezo Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mafisadi wnajipanga kununua tena nchi 2015 wazalendo mko wapi msilale.
   
Loading...