Recent content by mozilla

  1. mozilla

    Nauza nyumba bei 14M Vikindu

    Nimeuza teyari
  2. mozilla

    Nauza nyumba bei 14M Vikindu

    NAUZA NYUMBA SIFA ZA NYUMBA 1: Ina vyumba viwili vyote master na sitting room 2: Ina umeme 3: Ina maji ya bomba 4: Ina hati ya serikali ya mtaa 5: Tyres vyumba vyote Gharama ya ukaguzi ni bure Location; Vikindu, kilomita moja na nusu kutoka lami, nauli ya bajaji Tsh 5,00 Ukubwa wa kiwanja...
  3. mozilla

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila mpira ni nyoko aisee, humu ndani kulikua na english nyingi sana, ila sasa wote wamekimbia jukwaa, kichwa mviringo bado yupo sana maana unamfukazaje kocha aliyewapa EPL msimu wake wa kwanza tu???
  4. mozilla

    Wanawake ni ombaomba sana mpaka unaogopa hata urafiki tu

    Ila kwel babu, ma’fame wamezidi kuomba pesa, unajiuliza kabla yako alikua anaishije, kuna kipindi nikasema labda awa watoto wa 2000 ndio tabia zao, ngoja niwe na wa my age, nao tabia ni ile ile aisee
  5. mozilla

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Maboss wana madhaifu yao ila madhaifu ya ruben ni makubwa sana, tena wamechelewa kumfukuza, kocha gan anajaza mabeki 6 uwanjani na hatupati hata clean sheet, amad anapaswa awe karibu na goli ila yeye anamchezesha wingback Semenyo alivyotukataa ni Sawa tu, maana angechezeshwa wingback Shida...
  6. mozilla

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bora alivyofukuzwa, kocha mbinu zake mbovu, kila mechi unacheza mabeki 6 mpaka 7 uwanjani, yaani acheze na mkubwa au mdogo yeye anajaza mabeki tu uwanjani, timu inakosa balance, mbele mpira haukai Mechi ya everton wana red card, badala aingize washambuliaji, yeye akaingiza mabeki mwishowe...
  7. mozilla

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yeyote una uhakika? Yaani hata Pep au Klop??
  8. mozilla

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bado Garnacho nafikiri mpaka wiki ijayo atakua blue
  9. mozilla

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sasa ni rasmi, Fabrizio kapost dakika chache zilizopita, na nilikua nasubiria fabrizio athibitishe tu na kafanya ivyo ivyo Manchester United tunaandaa bid ya Sesko rasmi, na kama mjuavyo, dogo ameshakiri yeye ni UTD die hard fan Zile assist za bruno, mbeumo, cunha na amad dogo ashindwe yeye tu
  10. mozilla

    Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

    Kusema ukweli anachofanyiwa iran ni uonevu tu, maana trump hadi mkuu wake wa interejensia ametamka hadharani kwamba iran hana hata viasharia vya kuunda hilo bomu, hata wale waangalizia wa kimataifa wa Atomic nao wamesema ivyo ivyo, nuclear ya irani kwa ajiri ya nishati tu Ila iran kupitia hili...
  11. mozilla

    Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

    Sasa unafikiri Israel au USA wataiteka Iran kwa airpower ndugu yangu, kuondoa ile regime unapaswa upeleke ground forces, sasa wew unadhani israel or usa nani atasubutu kupeleka jeshi la ardhini pale iran? Unafahamu west washaanza kugawanyika kwa hii operation ya kijinga alioianzisha Bibi...
  12. mozilla

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    Samia kafunga comment kule instagram, Watz nomaaa
  13. mozilla

    Chanzo cha mgogoro kati ya Rais Trump na Elon Musk

    Ujue hawa makaburu akiri zao ni za kiafrika, kwaiyo kama kamsaidia alitaka apate fadhila
Back
Top Bottom