Mwitikio ni mkubwa mnoNimetuma kwenye group la familia mapokeo yamekua makubwa sana nimeona kila mtu anapaswa kuanza ngazi ya familia iatenda kwa haraka mana ndugu tunawamudu vyema
Ukiona INEC hadi leo haijasema wameandijisha wangapi basi ujue mambo ishakua ngumu mno muitikio wakujiandikisha nimdogo kuliko muitikio wa NRNEMwitikio ni mkubwa mno
Hakika kwenye magroup ya watsap unatuma moja wanasoma wote mpaka wakureftishe, mtu akikujibu tu wewe unaandika tu no Reforms no ElectionNimetuma kwenye group la familia mapokeo yamekua makubwa sana nimeona kila mtu anapaswa kuanza ngazi ya familia itaenda kwa haraka mana ndugu tunawamudu vyema
hii kampeni haiwahusu ccm hata kidogo.No reform no election haina chama. Ni kampeni ya kutetea haki. Be it wamaccm au mwanaupinzani.