Recent content by mozeq

  1. mozeq

    Usiyoyajua kuhusu Tundu Antipas Mughwai Lissu

    Stick to the Point. "MAMBO USIYOYAJUA" NA "SIO SIFA ZA KUWA RAIS"
  2. mozeq

    Najivunia kuacha chuo. Kijana mwenzangu, huhitaji shahada kufanikiwa kimaisha (to be rich)

    Dogo hayo maelezo umeweza kuandika sababu umepitia Shule. Kwenda shule lengo ni kuelimika. Na sio kuwa tajiri au kufanikiwa maisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mozeq

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Assist nzuri toka kwa Fernand Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mozeq

    Mjadala: Hivi nani kati ya mama mzazi au mke akae kiti cha mbele ikiwa wote wamo ndani ya gari?

    Popote mkeo alipo ni vema akawa Karibu na wewe. Kwenye Gari, chumbani, na popote. Hata kwenye harusi kuna meza ya wazazi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mozeq

    Namba za kukariri Tanzania

    Namba ya Kiatu Namba size nguo na Chupi Namba code ya Somo Chuo Namba ya Bia ulizoagiza hapa unaweza kumpa faida baa medi Namba ya Siri Tigo pesa Mpesa Airtel Money Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mozeq

    Geita: Daktari amchoma sindano nne mjamzito na kisha kumbaka

    Mjamzito;: Dokta nimekuja naona mimba yangu ipo hatarini kutoka. Dokta;: Sawa basi ngoja niingize tena mimba , Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mozeq

    Wafahamu watu mashuhuri na nyumba wanazoishi

    Huyu jamaa 2019 kaingiza dola million $193,969,305 akishika no. 4. Bongo Bahati mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mozeq

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Both team to Score hizo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mozeq

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pale Mhindi anapokubali kunipa hela ya peremende.
  10. mozeq

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Bear Beer.
  11. mozeq

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Qnet Bana. Mungu anawaona. Washaurini waweke Bidhaa za kitanzania. Na Holiday package za kwenda zanzibar, serengeti Katavi. Pia muwe mnaonesha bank slip/ statement tuone hizo hela nyingi mlizotajirika. Pia mtoe na mikopo iwasaidie watu wanunue bidhaa maana nyie mshatajirika. Hapo vipi.
  12. mozeq

    Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

    Taarifa ile ilikuwa ni Alert/ Tahadhari.
  13. mozeq

    Biashara ya mitumba inavyoua viwanda vyetu

    Hamna viwanda hapa. T-shirt tu ukifua mara mbili imeshafubaa. Quality zero,
Back
Top Bottom