Hizo nafasi japo kwa uchache wake zinakuhusu kaka. Amini hakuna linaloshindikana ukimshirikisha Mwenyezi Mungu, ukiweka jitihada katika maandalizi na subira.
Habari mkuu PCGAMES
Nimepitia kwa makini ujumbe wako na pia nimekuelewa kwa nini unapata sintofahamu.
Issue iko hivi, ni kweli matokeo wanatoa katika asilimia (%), hivyo mategemeo yetu ni kwamba kwa maswali ambayo huwa hamsini (50) basi kusiwepo na asilimia isiyogawanyika kwa mbili (2)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.