John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,240
- 16,389
Namm ndo hoja yangu kwamba nilijiandaa na maswali matano lkn nikakutana na 20 hvo nmepata kitu Cha kujifunza pia hapo kwamba maandaliza yangu yawe makubwa zaidi ya nilivokua nafikiria hapo mwanzo sio kwamba nazan au nasema nmefanya vzuri Zaid ya wengne ambao kimsing sjui walichoulizwa na walichojibuSidhani Mimi niliambiwa nitaulizwa maswali ma5, lakini cha ajabu nilipewa maswali 8, na mwisho kiongozi wa panel alinisisitiza niwe napitia website yao mara kwa mara mpaka Leo hii kimya...kikubwa kuomba Mungu tu