ozigizaga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 744
- 1,780
Lindi ndo zinaongezeka hizo 100+ mkuu. Njia ya Njombe ni fupilindi ni karibu kwa pungufu ya 100kms
Lindi ndo zinaongezeka hizo 100+ mkuu. Njia ya Njombe ni fupilindi ni karibu kwa pungufu ya 100kms
Sio mbali kama kupitia Lindi ila ukipitia Njombe kuna vilima kama gari mbovu itataga.Dar-Songea kwa njia ya Njombe mbali aise
Japo njia ya Lindi ni mbovu ila haina msongamano wa magari na ni tambarale tu.Lindi ndo zinaongezeka hizo 100+ mkuu. Njia ya Njombe ni fupi
Nashangaa wadau hapo Juu wansema ya Lindi ina unafuu. Songea tu mpaka uitafute Lindi ni 500+km, uanze tena Lindi tu Dar..Sio mbali kama kupitia Lindi ila ukipitia Njombe kuna vilima kama gari mbovu itataga.
Ya Lindi ni nyepesi ukitoa zile kona Tunduru - Songea hakuna ishu ,ila ya Njombe ngumu kinoma kutona na vilima.Nashangaa wadau hapo Juu wansema ya Lindi ina unafuu. Songea tu mpaka uitafute Lindi ni 500+km, uanze tena Lindi tu Dar..
njia ya lindi mbovu sehemu gani?Japo njia ya Lindi ni mbovu ila haina msongamano wa magari na ni tambarale tu.
Hapana Songeaa kupitia Lindi zaidi 1024KM.lindi ni karibu kwa pungufu ya 100kms
Rangi 3 mpaka kufika mnazi mmoja mashimo ya kutosha na vipande vya vumbi ila haina vilima wala kona.njia ya lindi mbovu sehemu gani?
Umechanganya mkuu kupitia Lindi ni km 1054 kupitia iringa ni km 947. Hata Mimi niliwahi kubisha Kama ww lkn namba hazidanganyi kupitia Lindi ndio njia ndefu zaidi.lindi ni karibu kwa pungufu ya 100kms
Amefanya vise versa...njia ya Lindi ni ndefu Sana alooh.Hapana Songeaa kupitia Lindi zaidi 1024KM.
Aisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa pori😂😂😂Nashangaa wadau hapo Juu wansema ya Lindi ina unafuu. Songea tu mpaka uitafute Lindi ni 500+km, uanze tena Lindi tu Dar..
Masasi -Namtumbo kuna advanture nzuri sana yale mawa kona na misitu ila kuinjoi ni Kupitia Iringa. Njombe-Songea napenda zile down chuma inapushuka na zile kona🙌Aisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa pori😂😂😂
Hapana mkuu Dar- Songea via Iringa ndio karibu kuliko njia ya Lindi kwa kilometa 100 hivi.lindi ni karibu kwa pungufu ya 100kms
Aisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa
Pia joto kali balaa njia ya lindiAisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa pori😂😂😂
Ooh okHapana mkuu Dar- Songea via Iringa ndio karibu kuliko njia ya Lindi kwa kilometa 100 hivi.
😂😂Aloh joto mwanzo mwisho. Lkn ya iringa ukifika mafinga lazima utoe koti hata uwe baunsaPia joto kali balaa njia ya lindi
Safina,Mwafrika,Upendo nkMmiliki alikuwa mtu wa Igurusi, those were the days, Scandinavia, Sandisa, Matema beach, Babylon, Tunyande,