Unju27
Member
- Aug 18, 2024
- 62
- 82
Hahaha na umemaliza mwaka gani chuo. 😄 😄AJira ya kwanza kuomba mimi kama BSC physics wazee na ina post 4 tu😃😃😃😃.
Utumishi kweli pamoto
View attachment 3438528
Hahaha na umemaliza mwaka gani chuo. 😄 😄AJira ya kwanza kuomba mimi kama BSC physics wazee na ina post 4 tu😃😃😃😃.
Utumishi kweli pamoto
View attachment 3438528
Hiyo ni vita mkuu, afe kipa afe beki mpaka kuchele! Haina ku surrenderAJira ya kwanza kuomba mimi kama BSC physics wazee na ina post 4 tu😃😃😃😃.
Utumishi kweli pamoto
View attachment 3438528
2022Hahaha na umemaliza mwaka gani chuo. 😄 😄
Hapo lazima jitu life mzee.Hiyo ni vita mkuu, afe kipa afe beki mpaka kuchele! Haina ku surrender
halafu watu kama nyie ndo huwa mna bahati ya kupenya...2022
Kiaje mkuu?halafu watu kama nyie ndo huwa mna bahati ya kupenya...
hizi kada ambazo ni hadimu kwanza unakuta mpo wachache watu waliosomea nuclear physics nchii hii sidhani kama mnafika 10Kiaje mkuu?
BAchelor of science tupo tupo mkuu.hizi kada ambazo ni hadimu kwanza unakuta mpo wachache watu waliosomea nuclear physics nchii hii sidhani kama mnafika 10
hamna usjali we kafanye tuu huwezi jua haya mambo ya kina putin wataalam wachache...BAchelor of science tupo tupo mkuu.
Sema hizo napatwa na mashaka zinawenyewe tayari.
Mi nlishawapigia wamerekebishaWakuu koz yangu ipo lkn inagoma ku apply
Wanakulekebishia wewe tu au woteMi nlishawapigia wamerekebisha
Unatumia namba gani kuwapata mkuuMi nlishawapigia wamerekebisha
Futa hiyo mentalityBAchelor of science tupo tupo mkuu.
Sema hizo napatwa na mashaka zinawenyewe tayari.
Hizo nafasi japo kwa uchache wake zinakuhusu kaka. Amini hakuna linaloshindikana ukimshirikisha Mwenyezi Mungu, ukiweka jitihada katika maandalizi na subira.AJira ya kwanza kuomba mimi kama BSC physics wazee na ina post 4 tu😃😃😃😃.
Utumishi kweli pamoto
View attachment 3438528
Saingine wanaandika tu 4 ila haina uhakika kama ni 4 mfano mi niliomba position fulani post zilikuwa 10 tu lakini mpk ss majina zaidi ya mia yametoka na bado wanatoa kila week mengine! Kuwa na amani na usiende na mentality hiyo kuwa haikuhusu, huku utumishi haki huwa ipo kiasi chake ko we pambana tu mkuu! Usiache na kusali..karibu preshani 🤝🏽AJira ya kwanza kuomba mimi kama BSC physics wazee na ina post 4 tu😃😃😃😃.
Utumishi kweli pamoto
View attachment 3438528
Kama wote wamefeli waseme wamefeli au wakaushe? kama wakaushe ndiyo wamesha kaushaWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Shukran mkuu kwa kunipa moyo ngoja niongeze umakini.Hizo nafasi japo kwa uchache wake zinakuhusu kaka. Amini hakuna linaloshindikana ukimshirikisha Mwenyezi Mungu, ukiweka jitihada katika maandalizi na subira.