Perrez Amanaya7
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 225
- 253
TAA nilifanya customer service mkuu, pepa ilikuwa ngumu balaa..😀TAA kada gani upo mkuu
TAA nilifanya customer service mkuu, pepa ilikuwa ngumu balaa..😀TAA kada gani upo mkuu
Uwwwi basi mie najiona nimesotaa kumbe watu mna miaka 9 wallah dah,tusikate tamaa kaka yangu japo inaumiza sana lakin tupambane ipo siku yetuu naamini hilooNimeliwa kichwa kwa nafasi ya TAA, ninasubiri majibu ya NEMC. Kisha nitasubiri kuitwa kwenye interview ya MDAs & LGAs. Ikiwa zote hizi nitashindwa kwenda oral interview basi ninadhani safari yangu ya kuomba ajira itakuwa imeishia hapo. Mwaka wa 9 huu toka nivae joho bado patupu. Ni vema nikubali tu kwamba ninapaswa weka juhudi na kuendelea kupambana zaidi na hiki ninachokifanya sasa, sio lazima niingie kwenye ajira.
Hongera mkuu changa karata zako vyema. Mwenyezi Mungu akuongoze uweze kupata nafasi.Naona nimepita kote TAA na TRA ngoja niangalie tarehe zimekaa vp kuhudhuria oral sasa..🙏
Ameen Inshallaah mkuu..🙏Hongera mkuu changa karata zako vyema. Mwenyezi Mungu akuongoze uweze kupata nafasi.
Kada zipiNaona nimepita kote TAA na TRA ngoja niangalie tarehe zimekaa vp kuhudhuria oral sasa..🙏
Hii ishu ya kusaidia watu kwenye Application sometime ina disappoint.Anyway, wakuu naomba kuuliza.
Kuna demu nilimsaidia kufanya application zile za waalimu mana yeye yupo kijijini hvy hana access ya kupata intanet muda wote.
Sasa yeye hakuweza kufaulu kwenda oral, yani alifeli kwenye written, ila amekuwa akinisumbua kuwa watu wanapangwa kazini hata kama walifeli written. Mm nimekuwa nikimwambia hilo haliwezekani ila analazimisha mara aniambie ameota amepangiwa eneo la kazi [emoji23] yani vurugu tuu
Je hili ni la kweli?
Sema walifaulu written na kwenda oral.Wakuu zile ajira za walimu zimeshaisha? Kuna madogo walifaulu oral mpk sasa hawajui hatma yao.
Hata yule aliengoza na 100 anaweza kufeli oral. Maksi za written zimeishia hapo hapo kwenye selection
Mkuu tokea mtu afanye oral mpk kuitwa kazini huwa inachukua muda gani kwa uzoefu?Sema walifaulu written na kwenda oral.
Kufaulu oral ni pale utakapopangiwa kituo cha kazi
Lawama zote zinaangukia kwako kuwa kuna kitu ulikosea 😂Hii ishu ya kusaidia watu kwenye Application sometime ina disappoint.
Bora huyo alihudhuria mkando.
Mimi kuna watu nimewasaidia kufanya application na kumanage kila kitu kuwahusu kuhusu Application, ila mwisho wa siku hawatokei kwenye mkando.
Watu wa hivyo nishananwa mikono, bora niendelee kupiga soga hapa na wapambanaji wengine
Hata mwaka inaweza kufika kikubwa ni kuchungulia chungulia kila mkeka utumishi wanaotoa. Kama ulifika oral chance ya kupata au kukosa ni 50% unaweza usipangiwe ile kazi uliofanya interview lakini ukabaki data base siku nafasi nyingine ikipatikana wanakuchukua kuijaza so inachukua muda sanaMkuu tokea mtu afanye oral mpk kuitwa kazini huwa inachukua muda gani kwa uzoefu?
Hilo swali ndio maudhui ya huu uzi.Mkuu tokea mtu afanye oral mpk kuitwa kazini huwa inachukua muda gani kwa uzoefu?
Kada gani mkuuTuliofanya usaili tarehe 24 tayari wameshaanza kupakia matokeo kwenye akaunti zetu. Nashukuru ndugu zanguni nimebahatika kuchaguliwa kwenda kufanya usaili wa vitendo. Mapambano yanaendelea
ICTO (System Administrator)Kada gani mkuu
Umetisha mkuuICTO (System Administrator)
Hongera sana, kila la kheri kwenye hatua inayofuataTuliofanya usaili tarehe 24 tayari wameshaanza kupakia matokeo kwenye akaunti zetu. Nashukuru ndugu zanguni nimebahatika kuchaguliwa kwenda kufanya usaili wa vitendo. Mapambano yanaendelea
Keep moving kaka,mpaka tulambe asaliTuliofanya usaili tarehe 24 tayari wameshaanza kupakia matokeo kwenye akaunti zetu. Nashukuru ndugu zanguni nimebahatika kuchaguliwa kwenda kufanya usaili wa vitendo. Mapambano yanaendelea