kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Yap multiple choice mwendo wa ku circle.Vipi format ya pepa bado ni multiple choice?
Yap multiple choice mwendo wa ku circle.Vipi format ya pepa bado ni multiple choice?
Ila mimi naona kwa mtu ambae amekaa mtaani muda mrefu multiple choice inaweza kuwa nafuu kwakwe maana hata kama kitu umekisahau kwa muda mrefu kuna jibu sahihi pale litakukumbusha.Yap multiple choice mwendo wa ku circle.
Naombeni msaada katika kuandika CV Mimi ni mpya Ajira portal
Tafuta za watu Alf uedit inakua rahisiNaombeni msaada katika kuandika CV Mimi ni mpya Ajira portal
Ndioo,Jaman hichi cheti naweza tumia AJIRA portal bila muhuri mwngine wa mwanasheria
Bila hili tangazo nafikiri usingelala kabisaTUlale tu wapambanaji, ngoma imesogezwa mbele.
Kada gani iyoDaah Leo tumetoka kwenye mikando paper linaeleweka hawajakaz kihivyo ila hatuna furaha ni huzuni 😥😥😰
RMA mkuuKada gani iyo
Huzuni ya nini tena mkuu wakati pepa umesema linaelewekaRMA mkuu
Kimekukuta Nini mkuuDaaah hatar sana
Bado mkuu. Na me nilipiga 23Hivi walofanya tarehe 23 matokeo wameshapewa?
Bila shaka tegemea kupata matokeo ya usaili wako siku ya leo ama kesho.Bado mkuu. Na me nilipiga 23
Sawa mkuu.Bila shaka tegemea kupata matokeo ya usaili wako siku ya leo ama kesho.