HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu mimi ninaswali.
Kuna kada nilifanya usaili ilikuwa may.
Dakika 2 kabla ya muda kuisha kile kituo umeme ulikatika so WIFI zikawa off baada ya muda kidogo umeme ukawa umerudi , na kwenye kusubmit ikaleta kama usumbufu ila admin alidai amepokea mtihani wangu.
Kitu kilichonitia mashaka ni Marks za matokeo aise nilikula 1 wakati paper nilikua nimeichakaza sana na nilikuwa na uhakika kabisaa katika hilo.

Hii imekaaje aise?
 
Duh..inasikitisha na kuchekesha pia.
 
Mtu mwenye experience na constructions equipments ((mitambo ya ujenzi ) kama caterpillar nk au ambaye ana ndugu au rafiki mwenye hiyo experience anicheki DM chapu nimrecommend chapu kwa mtu ,ni bonge la mchoñgo mtu akifanikiwa kupata
 
Nafasi gani sasa,uhasibu,sales au uhandisi?
 
Back
Top Bottom