HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Afu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo 😂
Wacha mwisho wa siku tutamuona mwenye sonona kati ya utumish na applicants
 
Afu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo 😂
Admin ajiraportal sonona inamtafuna maana sio kwa kuroga huku kwa hawa wanaoomba nafasi za interview watu wanamroga mpaka admin
 
TRA pia hukuchagulia position moja tu kwaajili ya interview regardless umejiona unafit kote namna gani
Za kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwa
 
Za kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwa
Ni vyema kuapply moja uwe safe side maana hata wanavokuchagulia post moja uattend interview ni kengele tosha kua hukupaswa kuapply mbili
 
Ni vyema kuapply moja uwe safe side maana hata wanavokuchagulia post moja uattend interview ni kengele todha kua hukupaswa kuapply mbili
Kuna fisi haelewi humu anataka ale sherehe zote zenye misosi huku na kule na kule mwisho anaishia kuambulia mifupa, fisi yoyote atakae taka kula misosi mingi atachezea kichapo atachapwa
 
Back
Top Bottom